Mtego wa CCM Kujilipa Kupitia Dowans na Tafsiri ya Wapiga-Kura 'TALAKA TOKOMEA'!!

Hakika 'Chief', taifa letu kwa kukosa uongozi bora, busara, na uwezo wa kujizuia nafsi tamaa za kidunia za kupata kingi na zaidi. Hebu fikiria kwa juhudi zote chafu hii ndio tena habari nyeti kati duru za ndani ya serikali zinasema kuna mpango wa siri mno Raisi sasa kutoroka nchi kupiti kwa Prof Bingu wa Mutharika.

Ndani tu ya mwezi mmoja keshachanja mbuga mara mbili huko. Na unafikiri hela zinazoendelea kutoroshwa nchi hadi dakika hii zitakua ni shilingi ngapi? Kwa kweli mwakani huko na kwa kuendelea sipati picha maisha yatakua magumu kiasi gani hasa vijijini.

Waacheni walipe..maisha yawe magumu mara kumi zaidi kwa watanzania na ndipo Dr Slaa atakapopenya kiurahisi ingawa itakuwa kama Ivory Cost
 
Waliochimba shimo watatumbukia wenyewe!

Balozi Maajar / Rex Attorneys, CCM & TANESCO's BoD Dug the Grave:

The appointment of Balozi Maajar and Co to represent TANESCO was the first MOST CUNNING DEATH SHOT at our public coffers to be wrestled off the un-imaginable 185 billion shillings.

The money we are talking about here, that we the tax-payers of this needy country are destined to part with, is more than enough to pay fees for up to 30, 834 university graduates to the tune of Tshs 6mn/- till the complete their studies and join the labour market to help revolutionise our weaker economy for the better!!

Kwa kweli inatia uchungu sana kuwa na viongozi walaghai kama hawa wanaoiba toka kwa wananchi wao mchana mchana kweupe. Hii ni kama sinema ya wakati wa vita kati ya Tanzania na Uganda halafu Mwl Nyerere akae aridhike tuu kwamba Nduli Iddi Amin keshajitokeza kutoa kikosi maalu cha kwenda kumlinda Mama Maria Nyerere na wanawe wote wasidhurike na mabaya ya vita, mmmmhhhh, ama kweli!!!!!!!!!!

And withis level of cruel professional misconduct for Advocate-turned-Diplomat Maajar, she will still be walking shoulder high in foreign countries as a dignitary without taking responsibility of all these to RESIGN from office.

With the Mega-Loss for our country to the tune of a hooping 185 billion shillings part of which Balozi Maajar will also be a beneficiary in professional fee, it is now clear that there MUST HAVE BEEN A DELIBERATE SYNDICATION OF THE WHOLE MATTER FOR ADVOCATE MAAJAR TO GO AND KILL TANESCO in court be offering fible representation before the law AGAINST DOWANS (RICHMOND DEVELOPMENT CORPORATION COMPANY which is sister company to DOWANS in business) as HER HEART had never stopped believing that the RICHMOND CONTRACT WITH TANESCO that has since been declared VOID AB INITIO was ideal, safe and correct deal to enforce in the country.

As a result of this act of stealing from public coffers using her legal profession, reasons why President Kikwete again had to immediately honour her with the position of becoming a diplomat at a distant location in Europe to shade her off from public eyes is yet to be known.

Now, within this muck of fraudulent dealings in the court corridors; Mrs Maajar and co advocates must face the wrath of Tanzanian tax-payers. The TANESCO Board of directors that appointed Mrs Maajar and Rex Attorneys which knowing very well that this was the legal representative of their first cheat company RICHMOND DEVELOPMENT CO that later gave rise to a relation with yet another CHEAT-COMPANY whose owners will never surface, their personal properties be attahed immediately to make good the loss in question.

As the current AG keep insisting that 'HIS CLIENTS DOWANS' must just be paid, full stop, the company of the anonymous owners of DOWANS TANZANIA LIMITED and their implicit or explicit sponsors MUST immediately start preparing for 'a-mother-of-all-wars' with Tanzanian taxpayers so duppped of their funds. Lucky enough, all the names are in public domain.

Tanzanians, let's wake up and go for someone's neck on this scandlous fraudulent network played in the court corridors; home and abroad!!!!!
 
Waacheni walipe..maisha yawe magumu mara kumi zaidi kwa watanzania na ndipo Dr Slaa atakapopenya kiurahisi ingawa itakuwa kama Ivory Cost

Lakini ni watoto wangapi watakaopoteza maisha ma-hospitalini kwa kukosa dawa, ni akina mama wajawazito wangapi watakaokufa kwa kukosa huduma toka kwa Manesi na Madaktari wasiolipwa vizuri?????

Jamani tuelewe wizi wa hata shilingi 1,000/- kwa nchi masikini kama yetu ni kusababisha vifo vya halaiki ya watu; jamani, jamani jamani!!!!!!!!!!! Kwa nini ubinafsi utawale kiasi hiki nchini mwetu?? Hebu wafikirie zile familia masikini ambayo hata mtu mmoja hakuenda shule au kaenda lakini hakuna ajira, maisha yatakuaje??
 
Wananchi kutokusikilizwa ni dhambi kubwa, kupuuzwa ni uhaini, na kutokupewa majibu juu ya mambo yanayotuhusu ki-ulipaji kodi ni kutokomeza kabisa uhusiano. CCM angalieni vizuri mtego huu!!!
 
Wananchi kutokusikilizwa ni dhambi kubwa, kupuuzwa ni uhaini, na kutokupewa majibu juu ya mambo yanayotuhusu ki-ulipaji kodi ni kutokomeza kabisa uhusiano. CCM angalieni vizuri mtego huu!!!

Haaa haaaa hhhaa!!!! Niacheni mie nicheke japo tupo kilioni. Ndugu Mallaba, haya maneno ya kifalsafa zaidi umeyatoa wapiiii?????? Kwa kweli hiyo sentensi yako hapo juu tosha kabisa kuelezea hali halisi tulionayo nchini kwetu kwa sasa.

Big up sana kwa hii summary wa kukata na shoka.
 
Tena wapumbavu hasaaa...umeshtukia eenh!

Jamani mimi nitofautiane na nyinyi kidogo hapa; si kweli kwamba sisi Wa-Tanzania ni wapumbavu kwa sababu tumezaliwa wapumbavu tu. Ukweli wa mambo ni kwamba Mwalimu Nyerere alitufanya tuiamini sana sana serikali huko miaka ya nyuma.

Sasa ni faida hiyo ya kuiamini serikali bila hata ya kuhoji kitu ambayo leo hii imetuletea kilio chote hiki.
 
Katika malipo haya ya kiajabuajabu watakaopoteza sana hapo ni wawili. Namba moja kupoteza hapa ni serikali CCM na kwa upande mwingine ni walipakodi.

Hata hivyo atakayepoza zaidi hapa endapo Dowans watapewa bilioni 185.5 bila ustahili CCM kuliko walipakodi nchini. Hii inatokana na ukweli kwamba CCM haijawahi kuonja kupoteza wakati wananchi sisi ni wazoefu wakubwa katika kuibiwa ibiwa na watu tuliowaamini na kuwapa nafasi ya kutuongoza.
 
Waliochimba shimo watatumbukia wenyewe!

Kweli kabisa umenena, shimo hili si mwingine bali ni Mzee Ruksa mwenyewe na makundi ndani ya CCM, wanamtandao wakalipiga plasta saafi, na Makamba na busara zake nzito nzito akachanga sanda hapo, ukweli ndio huo.

Percival Salam, hebu fafanua kauli yako hiyo hapo juu kwani bado haujaeleweka.

Vipi hapo tena Mkuu mwenzangu.......uliwezaje ku-comment mara ya kwanza bila kuelewa......halafu unauliza baadaye!!
 
Uchumi wa nchi hauwezi ukaendeshwa kwa maelekezo ya washauri kama Sheikh Yahaya ikafanikiwa. Kwenye huu ulimwengu wa ushindani mkali ukianguka leo wenzio wote hatua mia mbele huwaoni tena.
 
Yaani unataka kusema tuwashitaki RA na EL na kumwacha mhusika mkuu ambaye uwezo wote wa kuwawajibisha uko mikononi mwake kikatiba, kiserikali na kichama. Mbona tunadanganyana hapa ?

Mag3, hapo unachosema ni kweli kabisa kwani watu hawa hawakujiteua wala kujichagua wenyewe tu.
 
Uchumi wa nchi hauwezi ukaendeshwa kwa maelekezo ya washauri kama Sheikh Yahaya ikafanikiwa. Kwenye huu ulimwengu wa ushindani mkali ukianguka leo wenzio wote hatua mia mbele huwaoni tena.

Ndiyo maana tunasema kulikofikia mambo mpaka sasa nchini mwetu, bora TUWAPE KABISA CCM TALAKA TOKOMEA tusijuane tena hata ikiletwa Mahakama ya Kadhi hakuna kusuluhisha kitu teeeennnna!!!!!
 
DOWANS HATUWALIPI HATA SENTI MOJA MAANA MADAI YAO YANATOKANA NA MKATABA BATILI ULIOSAINIWA NA KAMPUNI HEWA YA RICHMOND DEVELOPMENT CORPERATION.

Kwa kuwa uhusiano wa kikazi uliopo sasa hiv kati ya Kampuni moja iitwayo Dowans na Shirika letu la TANESCO linatokana na KURITHISHWA kwake MKATABA na RICHMOND DEVELOPMENT CORPORATION ambayo ilithibitishwa kuwa ni BATILI kwa kuwa MKATABA hauwezi ukasainiwa na Kampuni hewa, ukweli huu peke yake ni sababu tosha ya kutusaidia walipakodi Tanzania tusilipe hata thumni katka hiyo bilioni `185.

Ikibidi, shitaka la kuabisha zaidi huenda likafunguliwa huko huko ICC. Katika kesi hiyo mshitakiwa wa kwanza huenda akawa ni Mwanasheria Mkuu, Waziri Ngeleja, na Bodi ya TANESCO ili ukweli wote ujulikane kweupe.


MAONI YA MWANA-JF, 'MASANJA:

Nimeisoma hukumu ya ICC/msuluhishi/arbitrator kati ya TANESCO na DOWANS lakini kwa mtu yeyote mwenye uelewa wa sheria, ni hakika facts zote hazikutolewa. Na nina mashaka kwamba kulikuwa na collusion kati ya mshtaki na mshtakiwa..(walikuwa kitu kimoja)..ilmradi hiyo pesa ilipwe na hela za walipa kodi. Maana ile decision ukiisoma unaona kwamba wahusika walifanya njama. Yaani ni yale yale ya Radar na ile hukumu ya juzi pale London (maana BAE walikubali kosa through plea bargaining na kulipa faini..ilmradi mahakama isiandike kwenye hukumu neno "corruption"..yet kwetu huku Tanzania tumeambiwa vingine kabisa!. Nitajitahidi kuzi-summarize niziweke hapa kwa lugha rahisi wananchi mzisome. Maana nadhani watu tumeshafanywa wajinga kabisa as if hatukwenda shule.

From my judgement..huu mkataba (TANESCO na DOWANS) haukuwepo..PRECISELY BECAUSE THE CONTRACT WAS BUILT ON ILLIGALITY..WHICH NULLIFIED ITS ENFORCEABILITY FROM THE TIME IT WAS CONCLUDED. Na uwezo wangu mdogo lakini naelewa kabisa..kama mkataba umeafikiwa kwa hila au udanganyifu hauwezi kuwa mkataba halali.....Clearly, Mwakyembe alituandalia report. (ambayo ilimuondoa Lowassa).....na wengi tuliisoma..tunajua kabisa Richmond haikuwepo..ilikuwa ni kampuni hewa. Kwa hiyo isingeweza kurithisha mkataba kwa DOWANS kwa sababu tayari huo mkataba haukuwepo kisheria! Huhitaji PhD ya International Law kutoka Stanford au Cambridge kulijua hili. Nina imani hata WEREMA analitambua hili..ila anacheza na fikra zetu watanzania.

Mwanzoni wengi tulikaa kimya kwa sababu tulijua ni mambo ya kisheria yatamalizwa kisheria. Lakini ukweli ni kwamba, its politics vs. politics. Yaani hapa..kesi ya TANESCO ilikuwa rahisi sana. Maana wale waliosign mkataba walidanganya from the biggining..kitu ambacho hata polisi ni kosa la jinai. Unfortunately nilichogundua it is highly likely huu mkataba ni " deal" la watu kwenye "system". Lakini kinachouma ni kwamba..wanaoumia ni sisi wananchi wa kawaida..ambao tunahangaika kila kukicha na haya maisha kwa sababu ya watu wachache sana. Mimi nadhani kwa kweli serikali yetu na wanasheria wetu hawajatutendea haki kabisa they should be ashamed of themselves. I have read the judgement na naona TANESCO wanted to loose from the beggining.

Hivi kweli kama taifa ambalo kila siku tunashinda kuomba vyandarua vya malaria....kwa akina Ray Chambers....tumeamua kuukubali huu udhurumaji kirahisi rahisi hivi? Hivi ni kweli tumekubali kulipa Billion 185 (na kuendela mpaka deni litakapolipwa) kwa Kampuni hewa? Mimi naomba viongozi wetu especially Raisi wetu na wabunge waache mzaha...This is serious its not politics anymore..its about the survival of the nation and its people. Na huu umasikini unaotukabili ni dhihaka ya hali ya juu kuambiwa tulipe hizo billions wakati hata sasa umeme hatukupata na wala mpaka leo hatuna! Jamani hivi viongozi wetu kwa nini wanakuwa wagumu kuelewa au wanafanya maksudi? Please Kikwete stop this! It pains. To all men and women in this poor country called TANZANIA.

Kwanza kabisa hii Kampuni hatujui mmiliki wake..kila mtu hata RAIS wetu wako kimya kuhusu nani mmiliki halali wa hii kampuni, sasa hiyo hela tunamlipa nani? Au viongozi wetu wamekula njama ya kutudhulumu sisi raia? Wanachokifanya ni kutwambia mjadala umefungwa? Jamani hizo pesa ni kodi zetu tuna kila haki ya kuhoji matumizi yake. Na hii siyo kutafutana ugomvi. Ni haki yetu ya kiraia kabisa. Sisi kama raia wa Tanzania TUNAHUKUMIWA kwa sababu eti tulivunja mkataba wa kufua umeme. Lakini tuliuvunja na nani? huyo mwenye kampuni kwa nini asijitokeze hadharani? Sisi wananchi ambao tunalala gizani tukamuuliza maswali? Maana viongozi wetu wana majenereta hawajui dhahma na kero ya huu umeme wa Tanzania. Cha kusikitisha zaidi huo umeme hatukupata hata wa kuwasha balbu moja ya jikoni! Leo tunaambiwa tulipe hayo mabilioni kwa taifa ambalo halina nyuma wala mbele.

Jamani mimi nadhani Watanzania sasa tuache ushabiki wa kisiasa tujipange kuuliza maswali magumu kwa hawa watawala wetu ambao wanaiendesha nchi yetu kama kampuni binafsi ya Mohamed Enterprises. Its tragic kweli kabisa sisi kama taifa kusimama na kusema kwamba tuna uhuru wakati hatuwezi hata kuamua au kutambua kipi kinatufaa kipi hakitufai.Inauma Kuona kwamba wale tunaowaamini ndo wanatuzunguka na kutufanya sisi ni wajinga. Nimemsikiliza Werema Jaji Mkuu..nimesikitika sana...kuona mwanasheria mkuu kama yeye anaweza toa kauli kama zile as if haijui sheria. Watu tunaweza kuwa na imani tofauti ya kisiasa. Lakini kuna mambo ambayo lazima tufike mahali tuyapiganie kwa maslahi ya hili taifa letu.

As we move forward nategemea Rais wetu atakuja na kutoa kauli thabiti dhidi ya huu udhurumaji wa mchana kweupe...Please Mr. President..stand up and be counted....tunalalamika kila siku mikataba mibovu..but ultimately the buck stops at your table..maana wewe ndo kiranja mkuu na baba mkuu mwenye nyumba.

Kama vipi..mimi nitajitolea BURE kuandika LEGAL OPINION kwenye hii HUKUMU YA ICC kati ya DOWANS na TANESCO kumshauri Rais wetu afanye nini baada ya hapa.... Kama aliyepewa hilo Jukumu haliwezi. I am ready to do it..for the sake of my country and its people. Tunasoma tuwezi kulisaidia taifa letu. Sasa kama hatuwezi hata kutetea maslahi ya taifa at its hour of need, ni usaliti.

I challenge my fellow compatriots. Lets stand up and say no to this day time robbery of our hard earned shilling.

mkuu pamoja sana.hata kuchangia ikibidi ntatoa nipatie taarifa tu kwenye PM yangu.
 
Changuo liko mkononi mwao CCM ama kujinyonge hili kamba la Dowans sasa hivi tu au vinginevyo. Tunashukuru sana mtego huu wameusuka wenyewe tu na wa kunasia mle ndani si mwingine.

Wa-Tanzania wapiga kura sasa tuko pembeni baada ya Werema KUJITANGAZIA KUFUNGA mjadala wa walipa kodi kuvurumsha maswali kutaka kujua mambo mengi sana kabla ya malipo yoyote kwenda Dowans.

Mkuu, tuko pamoja hapa. Haya malipo yakifanyika, tunaingia mtaani. Hatuwezi kuendelea kukubali kufanywa wajinga kiasi hiki!! Huyo Werema tayari ameahidiwa 10% ya hizo pesa ndio maana akakurupuka kusema mjadala umefungwa!!! Yeye anaufunga mjadala kama nani? Pesa zitakazotumika ni za walipa kodi ambao ndio wanamuajiri na kumlipa mshahara Werema. Nafikiri Kikwete alifanya wrong choice, huyu jamaa anafanya madudu matupu na ni ukweli ulio wazi kwamba anapwaya kwenye hiyo nafasi!!!!

Tiba
 
Mkuu, tuko pamoja hapa. Haya malipo yakifanyika, tunaingia mtaani. Hatuwezi kuendelea kukubali kufanywa wajinga kiasi hiki!! Huyo Werema tayari ameahidiwa 10% ya hizo pesa ndio maana akakurupuka kusema mjadala umefungwa!!! Yeye anaufunga mjadala kama nani? Pesa zitakazotumika ni za walipa kodi ambao ndio wanamuajiri na kumlipa mshahara Werema. Nafikiri Kikwete alifanya wrong choice, huyu jamaa anafanya madudu matupu na ni ukweli ulio wazi kwamba anapwaya kwenye hiyo nafasi!!!!

Tiba

Inauma sana!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa unategemea nini wakati tushaambiwa tayari kwamba mpango mzima wa Dowans ni wa mzee mwenyewe pale ikulu kuwaibia wananchi wake?
 
Back
Top Bottom