Wenda hii ndio ilikuwa bado haijajulikana hizo nyingine wameisha zijua[emoji1][emoji1][emoji1] kwani mbinu zimeisha mzee
Sio wewe tu.... Hii mbinu iko very low.Aseee!hivi mimi ni wa kike kweli?sidhani
Hiyo njia kwangu haiwezi kufanya kazi kwangu aseee
Nikikutana na mwanaume mpya kama ni suala la kupima nitamzungusha weeee ili nikapime mwenyewe kwanza ndio twende wote
Haiwezekani tukutane tu tuongozane wote tukapime HIV kizembezembe kama tunaenda kupima UTI
Sio wewe tu.... Hii mbinu iko very low.
Wajipange upya 😂
Basi upo nje ya ile asilimia 80 .... Ila mlio wengi hii njia inafanya kazi na nimeijaribu na sikupata resistance kabisa zaidi ya kuulizwa lini twendeAseee!hivi mimi ni wa kike kweli?sidhani
Hiyo njia kwangu haiwezi kufanya kazi kwangu aseee
Nikikutana na mwanaume mpya kama ni suala la kupima nitamzungusha weeee ili nikapime mwenyewe kwanza ndio twende wote
Haiwezekani tukutane tu tuongozane wote tukapime HIV kizembezembe kama tunaenda kupima UTI
Kama Savana za elfu 10 tu Zina nasa samaki ...mbinu ya kucheki afya itashindwaje....?Sijui wanatuchukuliaje hawa watu
Mbinu ya kiboya kabisa hii
Aaah basi tuta badilisha tukapime wote UTI.[emoji23]Aseee!hivi mimi ni wa kike kweli?sidhani
Hiyo njia kwangu haiwezi kufanya kazi kwangu aseee
Nikikutana na mwanaume mpya kama ni suala la kupima nitamzungusha weeee ili nikapime mwenyewe kwanza ndio twende wote
Haiwezekani tukutane tu tuongozane wote tukapime HIV kizembezembe kama tunaenda kupima UTI
Dogo anazingua, huwezi kamata tu dem ukamshikilia kwenda kupima, haliwezekaniSio wewe tu.... Hii mbinu iko very low.
Wajipange upya [emoji23]
Wapi weweeeSijui wanatuchukuliaje hawa watu
Mbinu ya kiboya kabisa hii
Adui ni nani mimi au😂🤣🤣Sasa wewe nae ndio nini hiki umefanya?
Umeisha toa siri za kambi kwa adui
Ukute sisi sio wa kike 🤣Sijui wanatuchukuliaje hawa watu
Mbinu ya kiboya kabisa hii
😂🤣🤣Mkuu kwa style hiyo lazima uishiwe damu dah!?Ndio hivo hapa Nina appointment za kwenda kupima Kama zote [emoji1][emoji1] Hadi nimalize kupima watakua wamenyonya damu yote mwilini