masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,844
- 15,015
Katika miaka ya hivi karibuni viongozi wengi kama sio wote nchini wameingia na kunasa katika mtego wa kuishi maisha ya anasa.
Maisha ya kiongozi wa juu nchini sasa hivi yametawaliwa na anasa kubwa ambazo tusingeweza kuzifikiria miaka kumi na tano tu iliyopita.
Anasa na tamaa vinaenda pamoja hivi leo katika uongozi wa nchi.
Watu hawajirudi tena kwa kuonekana wanajinyima kwa ajili ya wananchi.
Badala yske msimamo umekuwa kwa vile mtu unatumika basi lazima nilipwe chochote cha ziada hata kama sistahili.
Leo kiongozi kuwa na nyumba mbili tena alizouziwa na serikali kimchongomchongo si ajabu.
Kujihalalishia ununuzi wa gari aina ya kilimo kwanza si ajabu.
Familia moja kuwa na gari hadi nne nyumbani si ajabu.
Lakini vile vile kiongozi mwezi mzima yuko ziarani nje ya nchi huku kazi zikilala si ajabu.
Mbaya zaidi hata kwenye chama tawala wansokemea mwenendo huu ni wachache sana.
Leo kuishi kiwiziwizi ni fashion inayotawala nchi.