mtazamo

Mkuu ndo nini? Ni vision au,maana sijakupata au umekosa hoja ya ku post! Dar mwaka 2060,imefanyaje au itakuwaje ktk nyanja ipi? It is too general
 
Mkuu ndo nini? Ni vision au,maana sijakupata au umekosa hoja ya ku post! Dar mwaka 2060,imefanyaje au itakuwaje ktk nyanja ipi? It is too general[/QUOTE
KUNA PICHA HAPO KAKA IMEGOMA KUTOKEA. HAYA MAMBO TATIZO..

 
Niliona picha ya barabara za juu kwa juu zimefungamana na mataa ya kutosha lakini nimerudi haipo na comment yangu haipo pia.
 
Hii ifute mkuu umekosea ukaweka thread mbili moja ina picha nyingine haina..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…