Hivi inazuiliwa na nani? Kwa taarifa yako wanajifanya kuzuia sio kwamba wanazuia bali wanatafuta sehemu ya kujitangaza kwamba wanafanya kazi - hakuna kitu.
Mtu / mwanaume akiwa na shida ya huduma hiyo anaenda sehem zinazojulikana kwamba kuna huduma hiyo, anapata - na huduma hiyo inaenda kwa hadhi ya mtu. Maofisa serikalini wanawatumia makuwadi, wengine wanajitosa wenyewe, wasiokuwa na aibu utawakuta kwenye kuta za kumbi za starehe wakifanya makubaliano na mambo yanakwenda kama wanavyokubaliana - IMEKATAZWA NA NANI NA KWENYE KATIBA IPI?