Mtazamo wangu kuhusu eGA kuwa ndani ya TCRA

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Habari wanabodi
Nimekuwa nikiangalia kazi wanazofanya eGA ni nzuri na zinasaidia taifa kuhusu TEHAMA. Mtazamo wangu eGA wangejikita zaidi na ushauri na kuelekeza taasisi mbalimbali kutumia tehama ktk kufanya kazi zake badala ya wao pia kuanza kufanya kazi na kuzipungumzia mzigo ama kuziondolea ubunifu baadhi ya taasisi hasa watalamu walio ndani ya hizo taasisi kwa sbb watategemea tu mifumo ya eGA. Kwa hiyo basi kama wangejikita na ushauri na kuzielekeza taasisi kufuata kanuni na miongozi ya utumiaji mifumo au kuzilazimisha kuwa na data centre ndogo ndogo kwa ajili ya uhifadhi wa data zao kwa mantiki hiyo wangeunganishwa wakawa ndani ya TCRA kwa sbb tayari TCRA wana telecom na communication.

Karibuni kwa mjadala huu lengo ni kubadilishana mawazo tu sisi kama wanatehama.
 
Bilashaka huu ni uzi maalum kwa watu wa ICT na Telecomm
 
Back
Top Bottom