Mtazamo wangu juu itakavyokuwa Zanzibar

Mtazamo mzuri sana ila mshindi kishapatikana. Anangojea tu kuapishwa. Nguvu zoote hizo uje kuleta za kuleta ati Jecha ajisahau amtangaze mshindi mwingine. HAIKUBALIKI. Msitupotezee msitu tujadili visivyo wezekana. Jina la mshindi analo Jecha tiyari, Hata kwa kura moja yake mwenyewe akisema alisahau kupiga kura, ushindi huo kwao ni wa kishindo.
 
Viongozi wetu wanaishi kama wataishi milele ndio maana wanatenda watakavyo hila sote tunaishi kwa sekunde moja tu uwezi jua nani atakuwa nani kesho
 
Mkuu sio ngumu tu kuamini ila pia haiwezekani.......mshindi tayari anajulikana tangu siku walipofuta huo uchaguzi, jecha analo jina mfukoni...........
 
Mtazamo huo hakuna ccm wameshinda kila mtu anajua, maana mazingara yanaonyesha....!
 
Mtazamo mzuri sana ila mshindi kishapatikana. Anangojea tu kuapishwa. Nguvu zoote hizo uje kuleta za kuleta ati Jecha ajisahau amtangaze mshindi mwingine. HAIKUBALIKI. Msitupotezee msitu tujadili visivyo wezekana. Jina la mshindi analo Jecha tiyari, Hata kwa kura moja yake mwenyewe akisema alisahau kupiga kura, ushindi huo kwao ni wa kishindo.
Huo ndio ukweli kabisa mkuu, ila sasa kutokana na katiba ya Zanzibar kuhitaji serikali ya umoja wa kitaifa na ili mtu awepo kwenye hiyo serikali ni lazima apate at least 10% ndio awe makamu wa 1 wa rais, sasa uchaguzi huu naona ni ccm tu ndio washindi kwa 98% watabadili katiba tena?
 
Mkuu mangatara uchaguzi huu unamulikwa na vyombo vikubwa vya kimataifa, mh jecha ni part ya selikari.... nahisi diplomasia kutendeka hapa....

Najua ningumu kuiamini lakini nahisi huenda ndio kinachoenda kutokea....
Mkuu kwa zanzibar ccm kushindwa ktk uchaguzi huu ni ngumu sana kwa 100%
 
Mkuu mangatara uchaguzi huu unamulikwa na vyombo vikubwa vya kimataifa, mh jecha ni part ya selikari.... nahisi diplomasia kutendeka hapa....

Najua ningumu kuiamini lakini nahisi huenda ndio kinachoenda kutokea....

Kizzy;
Ni vyombo vipya vya kimataifa au ni kama vile vilivyokuweko Oct 2015?? Ka ni hivyo, na viende zake kabla ya asubuhi. Walipoangalia walifanya nini?? Kiongozi wetu Jecha alitumia malaka gani kuufuta?
We ngojea tu hadi kesho asubuhi. Kura hazitachukua mda hizi kwani hata mtoto wa darasa la upili aweza kuzihesabu zote kwa saa 1 tu. Ila, ili kutughilib akili watazihesabu siku 5 zionekane kuwa halali.
Mchinjaji kuchelewesha kisu hakuifanyi nyama kuwa halal bali haram, Na Jecha ni mpenda nyama haram
 
Viongozi wetu wanaishi kama wataishi milele ndio maana wanatenda watakavyo hila sote tunaishi kwa sekunde moja tu uwezi jua nani atakuwa nani kesho
Kabisa mkuu hawa mabwana wamelewa madaraka na kusahau mwenyezi mungu
 
Huo ndio ukweli kabisa mkuu, ila sasa kutokana na katiba ya Zanzibar kuhitaji serikali ya umoja wa kitaifa na ili mtu awepo kwenye hiyo serikali ni lazima apate at least 10% ndio awe makamu wa 1 wa rais, sasa uchaguzi huu naona ni ccm tu ndio washindi kwa 98% watabadili katiba tena?

Mmawia;
Kama hata uchaguzi haukufuata hiyo katiba, watabadili katiba ya nini?? Dr atateua makamu wa rais ampendaye tu, ila hatakuwa wa kwanza bali wa pili
 
Mmawia;
Kama hata uchaguzi haukufuata hiyo katiba, watabadili katiba ya nini?? Dr atateua makamu wa rais ampendaye tu, ila hatakuwa wa kwanza bali wa pili
Asante sana mkuu, ila sasa naiona zanzibar ikiingia ktk mkwamo mkubwa wa kiuchumi maana hawatasaidiwa kwa lolote zaidi ya wanacho zalisha
 
Mtazamo mzuri sana ila mshindi kishapatikana. Anangojea tu kuapishwa. Nguvu zoote hizo uje kuleta za kuleta ati Jecha ajisahau amtangaze mshindi mwingine. HAIKUBALIKI. Msitupotezee msitu tujadili visivyo wezekana. Jina la mshindi analo Jecha tiyari, Hata kwa kura moja yake mwenyewe akisema alisahau kupiga kura, ushindi huo kwao ni wa kishindo.
Dr Shein ni mshindi hata Kama watu wasingekwenda kupiga kura .
 
Gharama za kuweka majeshi Zanzibar kuilinda Serikali ya Zanzibar ambayo pato lake haliendani na matumizi Yao ni kubwa sana na itaathili uchumi wa Tanganyika huenda shilingi ikizidi kuporomoka , Magufuli huenda akaja kujutia pindi akichoka kutumia pesa nyingi kubembeleza muungano na kuilinda Serikali ya kidikteta chini ya Dr Shein .
 
Wakuu habari za jioni,

Najaribu kufikiri juu ya kinachoendelea Zanzibar ghafla likanijia wazo flani hivi.....

Vipi matokeo yakitoka ikawa si Dokta Shein wala Mh Maalim Seif kuwa mmoja wa walioshinda kiti hicho cha urais.

Ghafla mkaskia Mgombea wa Chama kingine tofauti ndio kashinda kiti cha uraisi Zanzibar, najua inakuwa ngumu kuamini na kukubaliana nami lakini nahisi kama hiki ndio kinaenda kutokea.

Ni mtazamo tu.

hahaaaaa

kama ulivosema ni wazo

ila hawa majamaaa wa CCM they don't give f..k

hawawezi fanya hivo mpaka tone la mwisho la damu ya wa tz
 
Magufuli atalazimika kutumia Mabilion kuwalinda na kuwalea ni pesa nyingi kuliko Safari za nje na matumizi mengine .
Mkuu hapo ile % ya mgao wa Muungano haitazingatiwa tena na kwa kufanya hivyo kodi za watanganyika zitakuwa zinawalisha wazenj
 
Back
Top Bottom