Kila kukicha, nazidi kuamini maneno ya mwana JF mwenzetu M.M Mwanakijiji kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.
Ni wazi kuwa kwa mafisadi waliopo CCM, UKAWA ya Lowassa ni bora kuliko CCM ya Magufuli. Kinachoendelea ni ishara tosha kuwa sasa CCM sio comfort zone ya mafisadi.