mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Nimesema mtazamo wa awali kwa maana tunasubiri Vyombo husika kuchunguza na kutuletea taarifa rasmi na kuondoa kabisa hili jinamizi ya Wizi Migodini.
Toka migodi mikubwa imeanza nchini sijawahi kuona Upande wowote Serikali au Wapinzani wakitoa ushahidi wa kisayansi na usio na shaka jinsi tunavyoibiwa.
UNAJIULIZA WANAIBAJE HADI KICHWA KINAUMA.
1:Michakato yote hadi kusafiriswa lazima awepo muwakilishi wa Serikali kama sio TMAA, Basi TRA au Mwakilishi kutoka Wizara na michakato yote inafanyika bila vificho.
2:Mikataba haikusainiwa kati ya Mwekezaji na wakenya bali ni watanzania sisi sisi. Kama Tunaiba (Hadi sasa sijaona ushahidi)
3:Sample au sampuli ya kila kinachofanyika Hupelekwa kwa Watu wetu wa madini na wako huru kwenda kupima popote duniani wakitaka kama hawaamini vyombo vyao accurace yake.
4:Wanakwepa vipi kodi tujulishwe, na kama wanakwepa kodi na tumejua kwa nini wasipigwe faini au kushtakiwa?
5:Nini kinazuia kutuma wataalamu wetu kwenda kwa hao smelter kujua Kinachofanyika? Na kwa nini tupoteze watu kwenda huko kama kinachoenda tunaweza kukipima na kukijua kabla hakijafika huko na mwekezaji hafichi?
6:Hawa jamaa acacia Ukikagua website yao utagundua Wanafungwa na sheria na taratibu za uingereza kuweka wazi malipo yote wanayoyafanya katika serikali wanzooperate, Kama haitoshi pia wanatakiwa kuweka wazi mambo yao kwa mujibu wa EU Accounting Directive (2013/34/EU) (Accounting Directive).
http://www.acaciamining.com/~/media.../2016/2015 Payments to Governments Report.pdf
Kwa nini Hoja kubwa Nchi nzima iwe Tunaibiwa na sio TUNAIBIWAJE?
Kwa ufupi kama kuna jambo ambalo Rais Magufuli atalitatua na Kutufahamisha wananchi na kumfanya kuwa rais wangu bora kabisa wa muda wote ni hii sintofahamu.