Mtazamo serikali 2015

Bin Chuma

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
298
250
Ndugu wadau, kwa mujibu wa mipango ya serikali kuinua uchumi na maendeleo ya mtanzania, kwa mtazamo wangu mimi nashauri kwa serikali itakayoshika madaraka 2015 ibadilishe sera zake za kuinua uchumi, kwani kwa sasa kama ni barabara tunazo, basi serikali ijayo ijipange kufufua viwanda, kwani hizi sera za kilimo kilimo kilimo bila viwanda hatufiki popote kutoka katika janga la umasikini. Viwanda vipo ni vya kufufua tu, serikali iangalie hili.
NB: hayo ni maoni yangu unaweza nawe kusema lako ila tusikashifiane.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom