Dimple Jerry
Senior Member
- Dec 18, 2012
- 118
- 11
Inawezekana una mimba, wahi clinic.....
nasikia watu wengine wanapokuwa na mimba huwa wana hiyo tabia ya kuchukia kitu bila sababu. Mimi haijawahi kunitokea lakini.
pole sana kawaone psycholigist wakusaidie maana si kawaida,swali la nyongeza;walikukosea nini hadi kufikia hali hiyo kwa sababu sidhani kama kuna binadamu anazaliwa hivyo ila tu inatokea unapotendwa vibaya na ukashindwa kukiachia hicho kitu kitoke mawazoni na moyoni hadi kufikia kujenga chuki.
Lazima una sababu wewe .....tueleze ....au tupe experience yako na hao viumbe.
pole,hujatuambia umri wako,ila nahisi mama yako alikuwa mkali sana wakati unakua au labda waliachana na baba yako,mama yako akamdhurumu dady wako mali......plus kutendwa na wadada ....sijui lipi hasa...:doh:
expirience yangu ni kuwa sijajihusisha sana na relationships katika maisha yangu na hivyo kuna wakati unafika nahitaji kuwa na mtu tatizo ninalokabiliana nalo ni kwamba nnapopata msichana na kukaa nae kwa muda naona hatuendan