Mtatiro: Wakiwamaliza hao, watarejea kwetu. Hakuna aliye salama

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,121
2,064
Na: Julius S. Mtatiro

ORODHA NDEEEEFU....

John Heche amekamatwa kwa amri sijui ya Mkuu wa Mkoa au wa Wilaya.

Mdee pia ilitolewa amri ya Mkuu wa Wilaya kuwa akamatwe mara moja!

Freeman Mbowe wameshambomolea BILICANAS na wakamfuata Hai wakabomoa hadi GREEN HOUSE yake.

LIJUAKALI alihukumiwa KIFUNGO akakitumikia hadi Mahakama Kuu iliposema kuwa ameonewa.

Godbless Lema amekaa gerezani miezi minne kwa amri ya mkuu, bila sababu.

Wanasema watamfikisha Maalim Seif mahakani muda wowote, kwa makosa yasiyojulikana.

Kina Saed Kubenea wamekamatwa jana jioni Dodoma ati wakishutumiwa kumpiga mbunge wa CCM (wakati picha zinaonesha walikuwa wanazozana).

Sumaye amenyang'anywa mashamba yake lakini Mkapa,Mwinyi, Pinda na wengine wanamiliki maelfu ya heka.

Lowassa ameambiwa afunge mdomo.....

Orodha ni ndefu kweli kweli... mimi nasema WATCH OUT!

Chekeleeni yanayowakuta hawa, lakini aina hii ya utawala humhudumia kila mtu, hawa wakishaishia magerezani, mimi na wewe itakuja zamu yetu, tutahudumiwa pia. Hatabaki mtu salama.

TANZANIA YA VIWANDA inakuja.
[HASHTAG]#JSM[/HASHTAG]
 
Sasa Mkulu na wewe ulivyo post hii kitu si watakukamata?
 
Back
Top Bottom