Mtatiro aumbuka

Naona baada ya kujikomba komba kwa mhishimiwa umeweka na email yako kabisa ili akutafute kukupa nafasi ya yule DED ambaye hajaripoti kazini mpaka sasa! Daah kweli ajira ngumu.
Umeona heee! Uyo jamaaa ndo anatafuta ajira na c Mtatiro.
 
Unaonaje aliyosema raisi huko Pemba, na hayo aliyosema mtatiro.tuangalie hayo maneno bila kuangalia nani kasema.
 
akili ndogo kama hii inaruhusiwa vipi kuanzisha uzi humu!!!!!
 
Unamfanisha Mtatiro (mtu) na Urais (Taasisi)!!
Kumbuka Mh. Magufuli alitoa speech kama rais wa nchi, hotuba ambayo inategemewa iwe imepitia hatua zote za maandalizi kimuundo na maudhui, kama hilo halikufanyika na wachambuzi wakaona hotuba ya rais unprofessional, iliyofeli ni taasisi ya urais.
 
Mbaguzi, alojaaaa unafiki, visasi, vinyongo eti kama mimi si sign pesa yake hiyo??
 
Nafikiri mleta mada ndo kaumbuka sasa! pitia comments za wadau kwa kituo halafu jitafakari
 
Mleta mada una mstatizo. Unakosoaje kwa kumlinganisha Mtatiro na Rais. Ina maana kama Mtatiro asingkuwa na hayo mapungufu ulyoorodhesha angekuwa sahihI!!! Ulichofanya hapa ni sawa na kubwambia Mtatiro a toe kwanza kibanzi chake!!!
 
MKUU HOJA ZAKO SIDHANI KAMA ZINAMAHIKO KATIKA WAKATI KAMA HUU,UKIWA MFUATILAIJI WA MAMBO USIPENDE KUEGEMEA UPANDE MMOJA,NA LABDA TU HILI ANDIKO LAKO LIMEEGEMEA ZAIDI UCCM
 
Co kila mtu anacoma ili aje kuajiriw ndg punguza mahaba ndg!
 
Kajifunze kuandika..kulogwa na zambi.. tatizo lako ni kukosa elimu..
 
Kwani Mtatiro kaongea uwongo kuhusu maslai ya maalim seif?
 
Mtatiro amefanya kile ambacho mtoto mdogo alimwambia mfalme aliyesifiwa kuwa nguo alizovaa zilimpendeza sana.
Anahitajika mtoto kuusema ukweli, wengine wamevaa unafiki.
Mtatiro kwa kumkosoa Rais ametimiza wajibu wake kama raia mwema.Mtatiro kiaina amempa Rais ushauri wa bure. Ni ushauri wa bure kwa rais ambaye anatakiwa kuleta utangamano na kuwaunganisha wananchi.

Kama Rais atatumia busara atakiona kile ambacho Mtatiro anaona Rais kwa kujua au kwa bahati mbaya amekitenda, kuweka petroli pale penye moto tayari.

Link KADA CCM: Rais Magufuli ameacha mtafaruku Zanzibar

Link2. M/kiti wa CUF Taifa,J.Mtatiro kuzungumza na waandishi wa habari leo 4/9/2016

Link3. CUF: Rais Magufuli aache kutumia mamlaka yake vibaya aheshimu misingi ya haki, demokrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…