PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,455
Kabla ya kuvuliwa uongozi ndani ya CUF. mtatiro alikuwa ni mwnasiasa anaevuma sana. Kila siku kupitia FB yake alikuwa akijadili mambo mengi ya kisiasa.
Hafla baada ya kuvuliwa madarak akahamia mijadala ya Mpira na kuacha siasa. Sijui kama CUF wanaweza kumpa Jimbo.
Hafla baada ya kuvuliwa madarak akahamia mijadala ya Mpira na kuacha siasa. Sijui kama CUF wanaweza kumpa Jimbo.