Mtarimbo wangu umelala DORO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtarimbo wangu umelala DORO

Discussion in 'JF Doctor' started by Sumbalawinyo, Jan 27, 2010.

 1. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Tangu mwezi uliopita ninahisi kitu kisicho cha kawaida mwilini mwangu.
  Asubuhi mashine haishtuki, nikitaka kupiga mechi na mama watoto wakati mwingine njema inagoma kupanda mtungi na wakati mwingine naibembeleza hazi zaidi ya saa nzima ndio iingie mzigoni.
  Nlikuwa nakunywa pombe kali sasa nimeacha, nilikuwa napenda kuangalia sinema za ngono na zenyewe sasa siangalii tena. Lakini bado tatizo liko palepale.
  Nilikuwa na pambano la nje, nimelipiga chini maana nahisi huenda linaniroga ili nisiwakewake kwa mai waifu wangu.
   
 2. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  teyari umeshaisha wewe, kwishnee!! Karibu lango la jiji
   
 3. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mchezo umeisha mzee!! Umekaribishwa lango la jiji na mdau hapo juu, ili wakakupige jeki!!

  Wasiwasi wangu ni kifuatacho....kwa my waifu wako!!

  Nenda hospitali wanaweza kukusaidia!!
   
 4. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Nayaweza yote katika yeye anitiaye Nguvu, Mungu wangu ni muaminifu wala hawezi kunifanya niabike milele.
  Halafu nyie mishoga mnajiendeleza tu kwa kupenda vitu vya bure.
  Ntapona tu hili ni tatizo la muda, wala kamwe sitoweza kuruhusu mwanaume mwenzangu aniparamie mgongoni.
  Bwabwa, ushindwe kabisa wewe na kampeni zako za kuwavuta watu kwenye use,nge.
  Halafu nimekushtukia kuwa unaitumia Jamii forums kutafuta popularity huku ukijidai ni mtetezi wa haki za mashoga na kisha baadae uanze kula vijisenti vya mabwabwa wenzako toka ughaibuni..
  mpango wako mzima hapa kwishnehi kabisa.
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  My dia pole sana but mm ni mwanamke maybe sijui sana kuhusu hilo tatizo,but maybe unamawazo mengi,au unafanya kazi ngum na nyingi,au chakula pia,mda wa kupumzika mdogo,jaribu kucheki hayo kwanza,Mungu ni mwema Huto aibika,pole sana
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,258
  Trophy Points: 280
  Jipe muda wa mazoezi,
  Kunywa chai ya jioni,
  Tembelea maeneo ambayo ni mageni kabisa kwako,
  Punguza kuvuta sigara (iwapo unavuta)
  Mtembelee mwana saikolojia, hasa mama Hoogan yupo pale Muhimbili atakusaidia sana kwa tatizo hilo
   
 7. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ......ungeiweka hii kule ka JF doctor, ingepata much attention kuliko hapa ilipo sasa!
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,258
  Trophy Points: 280
  mods wamsaidie jamaa kuihamishia kule.
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Pole sana Mkuu, utakuwa na kitu kinakutatiza au una msongo wa mawazo, itaisha tu hiyo hali
   
 10. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Punguza mawazo,kula chakula na sio hizi chipsi yaiz,jaribu kupata mchanganyiko wa asali na kitunguu swaumu japo mara mbili kwa siku<hizo nguvu kama zipo zipo tuu hazipokonyeki!!!
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160


  Saaaaaaaaaafi sana Mama Tery!

  Mungu ndiye ameipiga chini machine baada ya kuona umetumikisha sana kwahiyo unaweza kumuomba akurudishie ali-charge hiyo cellular.

  Anywayz umejaribu kumuona Dr Manyuki? Maana kama ulivyobandika yawezekana huyo mchezaji wa "reserve" aka "small house" ameenda "mlingotini"!
   
 12. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Badilisha KABISA menu ya msosi nyumbani kwako na kazini pia, weka mawazo kwa Mkeo hasa wakati wa shughuli yenyewe, muone kama mpya na kama ile siku ya HONEY MOON siku zote. Jogoo atawika tu.. Achana na hiyo small house.
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hapa unaimani za kishirikina

  Hapa una imani za Mungu tena unatumia kitabu kitakatifu.

  Mimi sikuelewi hapo wewe ni vuguvugu bora kuwa moto au baridi. Na hata tatizo linalokusibu bado hujagundua nini hasa(kulogwa au ni tatizo la kibaiolojia au kisaikolojia.
   
 14. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Je umesha pima kisukari?
   
 15. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mimi nilikuwa na tatizo kama hilo miaka minane hivi iliyopita. nilipata ushauri na dk. mmoja wa muhimbili kuhusu diet na food suplements,

  baada ya hapo, nakuambia mziki wake, usipime? hadi leo napiga mabao kama sina akili nzuri vile!!!!!!!!!

  kama una uhakika ukiamsha huo mtarimbo hutaendelea kufanya uzinzi, ni-PM nitakupa solution ya uhakika.

  vipi mama hajakushtukia tu bro?????????? tehe tehe..............
   
 16. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kama kawaida jamaa anaendelea tu kuleta story za kutunga hapa. Ukisoma hizo thread tatu alizoanzisha huyu ndugu hapa unaona ni za kutunga tu maana hazileti mtiriko wenye ukweli.
   
 17. s

  salolila Member

  #17
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mdau punguza mechi za nje mamaa unamdhulumu
  siunawajua wauza joto wako ful mizizi
  ukiwatosa tu
  wanakuharibia
  taratibu litaisha
  chunguza utabain
  ushanbayn
   
 18. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hapo umemkamata vizuri mno, ile wanasema 'caught with panties down!'
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  bado una nafasi. kama huna ugonjwa, wacha kabisa hizo pombe, pumzika vya kutosha, kula dayat. hopeful mambo yatarudi kama awali. nimeamini kuwa bwabwa ni sho.ga. mpuuzie. MODS pia wanamlea. I DONT KNOW WHY?!!!
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Hapa umesema
  Sasa ndo maana thread za mahusiano zinaonekana haziko serious kabisa.
  Kuna mwingine anaitwa Pape naye wale wale!
   
Loading...