Nasikia hili ni New force la Dar Mbeya... Sina uhakika sana kuhusu hilo...Naomba nifahamishwe kuhusu hilo basi lilikuwa linaelekea wapi? Na pia inapiga route ya wapi na wapi?
MBEYA - DAR ... Nadhani/ hiyo ajali imetokea maeneo ya Igurusi nje kidogo ya jiji la Mbeya.Naomba nifahamishwe kuhusu hilo basi lilikuwa linaelekea wapi? Na pia inapiga route ya wapi na wapi?
Dah! Inasikitisha mno kwakweli hizi ajali.MBEYA - DAR ... Nadhani/ hiyo ajali imetokea maeneo ya Igurusi nje kidogo ya jiji la Mbeya.