siku hizi nalisikia hili neno sana, hasa katika tv na radio, kwa mfano utasikia; mtanzania wa kawaida hafaidiki na madini ya nchi yake.......wakuu naomba ufafanuzi kidogo, mtanzania wa kawaida ni yupi??? na ambaye si wa kawaida ni yupi???

Wanamaanisha watanzania walio wengi. period. Lakn, ni watanzania wote wanaoishi chini ya dola moja kwa siku, ambapo ndio wanao'constitute zaidi ya Asilimia 85 ya waTZ!
Wanamaanisha watanzania masikini ambao ndio wengi zaidi. Ni kweli watanzania wanaozunguka migodi hawafaidiki na masilimali hizo. Wageni ndio wanaofaidi rasilimali tulizojaliiwa na Mwenyez Mungu
Wanakusudia Mtanzania wa wastani? Maana ukiniambia "Mtanzania wa kawaida" nitategemea huyo asiye wa kawaida awe na miguu mitatu au kitu kama hicho kisicho cha kawaida.