Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mataifa Mazingira

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
DdvDUeeU8AIGsgd (1).jpg


Hongera sana Ms Joyce Msuya kwa nafasi hiyo ya Deputy Executive Director of UN Environment.

Naona Watanzania sasa wanakamata nafasi za kimataifa tena wakina mama hongereni sana.

======

New York, 21 May 2018 – United Nations Secretary-General António Guterres today announced the appointment of Joyce Msuya of Tanzania as Deputy Executive Director of the United Nations Environment Programme in Nairobi, Kenya.

She will succeed Ibrahim Thiaw of Mauritania to whom the Secretary-General is grateful for his leadership and dedicated service during his tenure.

Ms. Msuya has since 2017 served as Adviser to the World Bank Vice President, East Asia and Pacific Region in Washington, D.C. She brings to the position more than 20 years of extensive experience in the field of international development spanning corporate, strategy, operations, knowledge management and partnerships, with diverse assignments in Africa, Latin America and Asia regions.

She previously served as the World Bank Special Representative and Head of the World Bank Group Office in the Republic of Korea, as well as Regional Coordinator at the World Bank Institute covering East Asia and Pacific Region, based in China, and Principal Strategy Officer at the International Finance Corporation’s Manufacturing, Agribusiness & Services Department. Earlier in her career, she held numerous prestigious positions at the World Bank Group.

Ms. Msuya holds a Master of Science in Microbiology and Immunology from the University of Ottawa, Canada, and a Bachelor of Science in Biochemistry and Immunology from the University of Strathclyde, Scotland. She is married and has two children.

Source: Joyce Msuya of Tanzania Named Assistant Secretary-General, Deputy Executive Director at United Nations Environment Programme

c.c tatum
 
Safi san,

Hivi ndivo vichwa vinavotakiwa kuendesha engine za kitaalam bongo hapa, ila walamba viatu wanafunika kila kitu.

To my no surprise sidhani kama habari hii itafika hata Kinondoni.

Mungu akulinde Msuya.
 
Msuya? Kuna kikundi kinadhani maji yalijikusanya ziwa victoria kwa bahati mbaya.
 
Safi san,

Hivi ndivo vichwa vinavotakiwa kuendesha engine za kitaalam bongo hapa... ila walamba viatu wanafunika kila kitu..
To my no surprise sidhani kama habari hii itafika hata Kinondoni.....
Mungu akulinde Msuya....
Tuna kichwa pale wizara ya fedha Mr. Mpango alikua huko World bank. Mpaka leo hatuoni matunda ya mipango yake. Bila Sera na utawala bora hata umlete nani sujui nae atakua Mipangoless.
 
Hongera yake sana.Huyu anafaa apongezwe ikitokea magrant ya mazingira akumbuke nchi yetu.
 
Back
Top Bottom