mtanzania , mkenya na mganda......EAC.

Kirode

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
3,566
Reaction score
84
...Nimecheka sana, hebu cheka na wewe..Mtanzania, Mkenya na Mganda walikamatwa China kwa kukosa vibalì, wakaambiwa wachague adhabu ya kifo au kwenda porini kuleta matunda kumi ya aina moja kila mmoja;
Mganda akaleta machungwa akaambiwa ameze moja moja hadi yaishe bila kufumba macho, kucheka, wala kulia; akameza moja akaanza kulia, akapigwa risasi.
Baada ya muda Mkenya akaja na zabibu akameza alipofika ya tisa akacheka, akauliwa.
Walipofika kuzimu Mganda akamuulza Mkenya, ulishindwa nini wakati matunda yako madogo? Mkenya akajibu: 'Nilicheka kwa sababu Mtanzania yuko njianì anakuja na matikiti!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…