Hii ni mbaya sana,kwa huyu Mtanzania kumuua mke wake. Halafu probably alimuoa huyu mwanamke ili apate uraia wa Denmark.
Halafu hili ni jambo ambalo linatokea zaidi kwa watu uneducated,watu of low social status,hasa Tanzania,kwa mtu kumuua mke wake kwa sababu za unfaithfulness.
Hakuna sababu ya kwenda jela kwa sababu hizi,kwa kufanya mambo,halafu kuona kwamba hakimu hakubaliani na wewe.
Hii ni kawaida kama hapa Marekani kwa wageni kuoa wanawake citizens ili waweze kupata Green Card,ambayo ni Residence Permit ya miaka kumi,ambayo inapatikana kwa urahisi kama ukimuoa mwanamke citizen.
Ganesh,
Long Beach,California.
Kakulia kwa kina Chenge et al.
HOW BRUTAL!
Inakuaje umfanyie mwenzio- mama wa watoto wako ukatili hivi? Kama mmeshindwana kwanini msiachane kwa amani tu? N ahuyu marehemu sijui kwanini alimfuata huyu kichaa nyumbani kwake!
jee una ushahidi kwamba ni mpemba?Wala! Mpemba huyu wa jino kwa jino, mafunzo ya mapnga wameyapata vyema hawa!!!
Circumstancial, na wamekaribishwa sana huko DK kama wakimbizi,sasa wayaone madhara yake.jee una ushahidi kwamba ni mpemba?
Circumstancial, na wamekaribishwa sana huko DK kama wakimbizi,sasa wayaone madhara yake.
Wacha kasumba zako, jamaa ni product ya wapiga ngoma kule Mwanza!Wala! Mpemba huyu wa jino kwa jino, mafunzo ya mapnga wameyapata vyema hawa!!!
Wacha kasumba zako, jamaa ni product ya wapiga ngoma kule Mwanza!
Mwanza, Mwanza. Sukumas are lovers not fighters.
Huyo jamaa anatia doa watanzania wote haijalishi anatokea wapi.
Are they real lovers? What about albino crisis? and the infants? do they real lovers???