Wadau,
Mimi leo ni mara ya kwanza kutembelea Nchi hii maridhawa kabisa ya Maj. Gen. PK. Kama yupo "Mswahili"mwenzangu ambaye yuko huku naomba tuwasiliane angalau kupata uenyeji wa kutembea /kulizunguka Jiji la Kigali kwa siku hizi chache nitakazokuwepo huku.
Details zaidi njoo inbox.