H Hypersonic JF-Expert Member Joined Apr 14, 2012 Posts 994 Reaction score 1,895 Sep 8, 2024 #1 Waungwana mtandao wa X umezimwa @ TZ au ni mimi tu. Make kwa muda sasa najaribu kufungua lakini hamna kitu. Mwenye taarifa za ziada tafadhari. Soma Pia: Mtandao wa X (Twitter) unaelezwa kuzuiwa nchini Tanzania. Mmeanza kuinstall VPN's? Soma Pia: Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania
Waungwana mtandao wa X umezimwa @ TZ au ni mimi tu. Make kwa muda sasa najaribu kufungua lakini hamna kitu. Mwenye taarifa za ziada tafadhari. Soma Pia: Mtandao wa X (Twitter) unaelezwa kuzuiwa nchini Tanzania. Mmeanza kuinstall VPN's? Soma Pia: Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania
rickboy JF-Expert Member Joined Jan 22, 2022 Posts 235 Reaction score 754 Sep 8, 2024 #2 Wakizimaa JF ntateseka sanaa hiyo mingne wazime tu
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,068 Reaction score 16,380 Sep 8, 2024 #3 rickboy said: Wakizimaa JF ntateseka sanaa hiyo mingne wazime tu Click to expand... Kuna watu wako x nao walikuwa wanasema hivyohivyo. Ubinafsi tuu.
rickboy said: Wakizimaa JF ntateseka sanaa hiyo mingne wazime tu Click to expand... Kuna watu wako x nao walikuwa wanasema hivyohivyo. Ubinafsi tuu.
H Hypersonic JF-Expert Member Joined Apr 14, 2012 Posts 994 Reaction score 1,895 Sep 8, 2024 Thread starter #4 GenuineMan said: Kuna watu wako x nao walikuwa wanasema hivyohivyo. Ubinafsi tuu. Click to expand... Au ni kutokana na issue ya kifo cha Kada....
GenuineMan said: Kuna watu wako x nao walikuwa wanasema hivyohivyo. Ubinafsi tuu. Click to expand... Au ni kutokana na issue ya kifo cha Kada....
mfate42 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 4,061 Reaction score 4,847 Sep 8, 2024 #5 Haifunguki kabisaaaa
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,203 Reaction score 40,641 Sep 8, 2024 #6 Kwangu unafunguka Vizuri tu
O Odili JF-Expert Member Joined Feb 8, 2015 Posts 1,771 Reaction score 1,392 Sep 8, 2024 #7 Kwangu inapiga kazi vizuri tu
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 36,152 Reaction score 30,856 Sep 8, 2024 #8 Hypersonic said: Waungwana mtandao wa X umezimwa @ TZ au ni mimi tu. Make kwa muda sasa najaribu kufungua lakini hamna kitu. Mwenye taarifa za ziada tafadhari. Soma Pia: Mtandao wa X (Twitter) unaelezwa kuzuiwa nchini Tanzania. Mmeanza kuinstall VPN's? Soma Pia: Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania Click to expand... account yako kwisha habari yake, huenda account yako inatumika uarabuni sasa dah 🐒 wezi wa akaunti za watu ni hatari sana dah
Hypersonic said: Waungwana mtandao wa X umezimwa @ TZ au ni mimi tu. Make kwa muda sasa najaribu kufungua lakini hamna kitu. Mwenye taarifa za ziada tafadhari. Soma Pia: Mtandao wa X (Twitter) unaelezwa kuzuiwa nchini Tanzania. Mmeanza kuinstall VPN's? Soma Pia: Netblocks: Mtandao wa X (Twitter) umepigwa pini nchini Tanzania Click to expand... account yako kwisha habari yake, huenda account yako inatumika uarabuni sasa dah 🐒 wezi wa akaunti za watu ni hatari sana dah
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,748 Reaction score 86,386 Sep 8, 2024 #9 tupa hiyo simu!
H Hypersonic JF-Expert Member Joined Apr 14, 2012 Posts 994 Reaction score 1,895 Sep 8, 2024 Thread starter #10 Yawezekana Mkuu, kwangu naona mauzauza kwa muda sasa tangu zilipoibuka taarifa za kuuwa mfuasi wa Chadema kila nikijaribu kufungua unabaki unsearch tu baadae huja na majibu ya Retry labda kwa kuwa mimi situmii ile Premium platform
Yawezekana Mkuu, kwangu naona mauzauza kwa muda sasa tangu zilipoibuka taarifa za kuuwa mfuasi wa Chadema kila nikijaribu kufungua unabaki unsearch tu baadae huja na majibu ya Retry labda kwa kuwa mimi situmii ile Premium platform
H Hypersonic JF-Expert Member Joined Apr 14, 2012 Posts 994 Reaction score 1,895 Sep 8, 2024 Thread starter #11 KENZY said: tupa hiyo simu! Click to expand... Situmii simu natumia computer na nina connection ya internet ya kawaida. Ajabu platfoam zingine zinafunguka fresh tu mpaka youtube
KENZY said: tupa hiyo simu! Click to expand... Situmii simu natumia computer na nina connection ya internet ya kawaida. Ajabu platfoam zingine zinafunguka fresh tu mpaka youtube
jonas amos JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 3,648 Reaction score 4,451 Sep 8, 2024 #12 Kwa sasa x inanguvu kama mara 2 ya ilivyokuwa jf miaka kadhaa nyuma.2012 mpaka 2020 X kwa sasa ni tishio namba 1 vijana wanatema madini sana
Kwa sasa x inanguvu kama mara 2 ya ilivyokuwa jf miaka kadhaa nyuma.2012 mpaka 2020 X kwa sasa ni tishio namba 1 vijana wanatema madini sana
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,329 Reaction score 176,109 Sep 8, 2024 #13 Mbona kwangu unafunguka vizuri tu!
Kelvin35 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2023 Posts 1,199 Reaction score 1,828 Sep 9, 2024 #14 Atoto said: Mbona kwangu unafunguka vizuri tu! Click to expand... wewe huna madhara kwa wakubwa