Mtandao wa Vodacom unaibia wateja wake

PAND PIERI

Senior Member
Jul 30, 2020
183
270
Ni kweli nimekuwa mteja wa Vodacom kwa miaka zaidi ya kumi,mwanzoni ilikuwa nzuri na kujali wateja wake lakini kwa Sasa naona wamekuwa wezi na wanaiba usiku na mchana.

Vifurushi vya Voda vimepanda Mara dufu kuliko mitandao mingine hadi najiuliza mbona vifurushi vya mitandao mengine havijapandisha hivyo.

Kukata salio kwenye account bila mteja kuridhia.

Sim banking, mitandao zote wamerahishisha huduma ya Sim banking kasoro Voda.

Voda wana kasoro nyingi wakati wao ndio wanatawala soko,Voda bye bye nitawafikiria mkiboresha huduma kwa wateja.
 
Back
Top Bottom