Mtandao wa Tigo bhana...!!!

Mtandao wa Tigo bhana...!!!

Void ab initio

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
5,723
Reaction score
5,662
Tunaomba radhi kwa kukosa huduma zetu jana,huduma zote sasa zimerejea. Furahia SMS & WHATSAPP BURE HADI SAA 6 USIKU LEO.
 
Nimeshalitupa li line lao tangu jana...hiyo offer wawapelekee ndugu zao.
 
Bora hao wanaomba radhi na fidia. Lakini Airtel network inaweza ikawa down siku nzima mpaka kifurushi kinakuishia, hawaombi samahani wala kukufidia.
 
Hio offer itanirudishia hasara ya kukosa mawasiliano niliyoipata jana?
 
Mimi jana nimeweka vocha sio chini ya mara 15 haiingii nikaitupa vocha na laini yao
 
Back
Top Bottom