Mtandao wa internet upo Down kwa sababu ya press ya Heche?

Mtandao wa internet upo Down kwa sababu ya press ya Heche?

Ilipotimu saa sita muda ambao ulipangwa Heche kuongea na waandishi wa habari mtandao ukaanza kusumbua hulo Youtube apaingilili
Jamaa wapumbavu sana ,wamepunguza speed(bandwidth) ,hawajui SMart TV za sasa zina AI zinafanya autotuning tu ya pixel bila kuganda....Hizi kampuni za simu zisipokuwa makini wataharibiwa biashara sana na hao WAHUNI ,inabidi wawe na msimamo kwamba wakiendelea kuwadhibiti wanafunga bizness.
 
Back
Top Bottom