Kuna mahali nmefika leo, hakuna network ya voda wala airtel wala tigo. Nmekuna wanavijiji wanatumia halotel, huku simu yangu ikiandika emegency kwa laini zote mbili. Hao halotel wamejitahidi sana, nina mpango wa kutafuta laini zao. Wanakijiji wamenishauri nitumie halotel niwapo kule maana ndio pekee inayofanya kazi