hilo jina linaudhalilisha huo mtandao. harlotel?????Nawapongeza sana maana hata internet ya hapa ni ya kas .hongera hata vijijini mnapatikana
Hawa jamaa ni noma kila sehemu ni 4G na 3G...!
hawaanaa 4G bana
Teh Teh na wewe ni mfanyakazi wa mtandao gani?Wote wanao support ni wafanyakazi wa huo mtandao, kwanza mlipaswa kulipia tangazo, bado sana na mtasubr sana.... jika..z.en mtafika
Kiukweli tuache ushabiki usio na maana halotel wanatisha network bomba mbaya