bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 798
Habari wana jamvi?
Hivi jamani mmeona laana iliopo Badoo?Yaani mimi nlijua ni app ya kawaida ya kusocialize lakini daaaah salaaaaaleh .
Nilijiunga ikaja option kua nataka kuchat na nani nkaadd "female" age "20-40" yaan tangu ni accept kuna malaya wa kila aina na haogopi kabisa kua wazi kukueleza lakini piakupanga bei online.kwanza wanatabia zavibomu balaa.Nilienda mbali zaidi na kufanya katafiti kangu nkafanikiwa kummit mmoja na tukahegedana kabisa...
Najiuliza
Serikal kupitia TCRA, haioni haja sasa ya app kama.hizi kutozipa nafasi ikiwa ni sehemu ya kupunguza kasi ya maambukizi hasa kwa vijana?
My take
Ifike mahala mitandao ya kijamii iwe huru kuanzia saa kumi na mbili jioni.