APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 292
Moja kwa moja kwenye maada ni kuwa mtandao wa airtel kwa siku kama tatu hivi siulewi yaana kuna kuwa na shida ya kupiga simu, kutuma sms na kupokea sms.
Yaani mtu anakutumia sms leo unaipata kesho hii ni haki? Shughulikieni hili tatizo; na pia Internet yenu inasumbua sana.
Yaani mtu anakutumia sms leo unaipata kesho hii ni haki? Shughulikieni hili tatizo; na pia Internet yenu inasumbua sana.