Mtandao wa Airtel Changamoto sana

Sijui ni wapi huko mimi miaka zaidi ya 20 sasa Airtel ipo stable na hakuna mtandao kama huu.
 
Hamia mtandao mwingine na namba yako,nenda Tigo au Vodacom waeleze kwamba unataka namba yako ya Airtel uhamie kwenye mtandao wao. Hutahitaji kubadilisha namba,nenda kwenye ofisi zao rasmi sio kwa mawakala.
Hii imekaaje mzee? Code ya mwanzo itakuwa ya mtandao gani?
 
Kweli kabisaa mi ninewahama Kwa muda
Wahame
 
Namba itabaki vile vile ila utahama mtandao.
Mfano kama upo mtandao wa Airtel na namba yako ni 0784 1xx 123 ukihamia Tigo hata namba za mwanzo yaani 0784 itabaki hivyo hivyo? Kama ndivyo, hata makampuni mengine unaweza kubadili namba kwa utaratibu huo huo au ni kwa Tigo tu?
 
Mitandao yote chief,Baki na namba yako ila hama mtandao.
 
Hamia mtandao mwingine na namba yako,nenda Tigo au Vodacom waeleze kwamba unataka namba yako ya Airtel uhamie kwenye mtandao wao. Hutahitaji kubadilisha namba,nenda kwenye ofisi zao rasmi sio kwa mawakala.
Mbona wanasema hio Huduma kwa sasa haipo?
 
Labda kama watakua wamesitisha😏😏,unaweza kujaribu mtandao mwingine pia uone kama wanaweza kukubali uhamie na namba yako.
 
Hamia mtandao mwingine na namba yako,nenda Tigo au Vodacom waeleze kwamba unataka namba yako ya Airtel uhamie kwenye mtandao wao. Hutahitaji kubadilisha namba,nenda kwenye ofisi zao rasmi sio kwa mawakala.
mkuu hii huduma naifahamu (MNP) ila pa kuanzia ndo napata ukakasi. nipe muongozo, mfano nipo halotel nikitaka kuhama naenda halotel au naenda mtandao ambao nataka kuhamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…