Nashukuru kwa maelezo yenu murua ndugu, kumbe ni changamoto nzito kiasi hicho duuh.Hapa kuna vitu viwili huwa vinaweza kufanyika na kusababisha haya matatizo ya slowness.
1) Poor infrastructure za maeneo husika ,ofisi nyingi zikiwepo za serikali zina infrastructure mbovu sana kwa mambo ya IT .
2) Poor service from ISP (internet service provider ) ,hii inatokana na kuingiza usiasa mwingi kwenye mambo ya kiaalamu unakuta miundombinu ya hao ISP haipo vizuri pia haina wataalamu wabobezi wa masuala ya IT.
3) Low Bandwidth from provider ,hii inaweza sababishwa na ofisi husika kuto kujua mahitaji wanayohitaji ,wanaamua kuchukua kifurushi kwa kubana matumizi.
Shukrani mno mkuu kwa maelezo yako murua hakika IT department bado ina changamoto kubwa sanaMtandao kua chini upo wa aina mbili...
Moja mtandao kua chini, na tatizo lipo ndani (Internally) kwa hiyo watalaam wa hapo watajitahidi kutatua tatizo ndani ya muda mfupi...
Pili mtandao kua chini, na tatizo lipo kutoka kwa ISP (External) hii mnakua hamna ujanja zaidi ya kungoja mpaka hao ISP watakapo tatua matatizo yao ndiyo mtandao urudi...
Cc: mahondaw
Ahsante mkuu nimekusoma vizuri Issue kumbe ipo na changamoto sana.na pili shida ipo kwenye hosting ,unakutua website ina watumiaji wengi kuliko uwezo wake inasababisha server overload,mwisho mtandao unaenda chini,,
badala ya kusolve tatizo kwa kuongeza/kutumia VPS ili kukidhi mahitaji nobody care,itabidi upambane na hali yako ku refresh hiyo page(website) mpaka vidole viote sugu,utasubiri mpaka usiku watu wapungue ndio ufungue,,,,,,
ingawa kuna matatizo mengine siyo ya kujitakia ila nahisi mengi tu ni uzembe,,,,,,,
pole sanaaUkisikia ubinadamu kazi, ndi hii sasa[emoji276]