Shomary47 JF-Expert Member Feb 12, 2021 224 348 Jun 1, 2023 #1 Habari wanajamvi, Mimi niko mkoa X, ni mjasiriamali na kazi zangu zinategemea sana Mtandao. Sasa hivi karibuni nimehamia Kwenye Ofisi mpya. Hapa nilipohamia nikiingia tu Ofisini mtandao unasoma "EGDE (E)" Nikitoka Nje unasoma "LTE" Naomba Msaada Jinsi gani naweza kufanya isome LTE. Natumia Mtandao wa TIGO
Habari wanajamvi, Mimi niko mkoa X, ni mjasiriamali na kazi zangu zinategemea sana Mtandao. Sasa hivi karibuni nimehamia Kwenye Ofisi mpya. Hapa nilipohamia nikiingia tu Ofisini mtandao unasoma "EGDE (E)" Nikitoka Nje unasoma "LTE" Naomba Msaada Jinsi gani naweza kufanya isome LTE. Natumia Mtandao wa TIGO
kijani11 JF-Expert Member Jan 19, 2014 7,653 7,463 Jun 1, 2023 #2 Jaribu kampuni zingine uone inakuwaje?
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Dec 10, 2022 2,547 9,208 Jun 1, 2023 #3 Attachments Screenshot_20230601-145041_Phone.jpg 38.7 KB · Views: 1