Mtandao umezikwa rasmi leo

wewe sio mtz....tuachie nchi yetu.
 
Acheni kumchafua Rais wetu. Taja ndugu yake 1 tu aliyemuuzia nyumba ya serikali kwa bei ya peremende. Mkiishiwa hoja mlale sio kuongea ngera hapa

we unaishi sayari ya mars,huyajui hayo,ndugu yake anaitwa musa ,na small house anaitwa...simtaji
 
Waungwana tumpe muda sio kugeuka watabiri.
 
Kuuzima mtandao wa lowassa na wafanyabiashara ilikuwa si kazi rahisi. Hongera mh.rais Magufuli
 
Mpe salamu Ras Simba mkuu
 
Ukimwomba Magufuli akuchoree ramani ya dunia atakuchorea ya Tanzania. Lakini ni vizuri ili safari za nje zipungue!!!!
 
Unafikiri wamezeeka na kufa wote?.....bado tunao mtaani na wanajua kinachoendelea waulize mwaka 1981 walikuwa wanaendeshaje usalama utaanzia hapo

watamwambia butiku kolimba na kambona wanafaa saaaana!
 
Wewe hata ukionesha chuki ya Mgombea wako kushindwa haitasaidia lolote. Mchuma umeondoka huo. Huyo mgombea wako ndio basi tena!Tena wewe naweza kukisia kabila na MKOA wako. Shame!

Kabla ya kukutajia ndugu naanza na hawara sindu maloma! Sasa anafanya kazi barrick ....sijui wanaitwaje sikuhizi!
acheni kumchafua rais wetu. Taja ndugu yake 1 tu aliyemuuzia nyumba ya serikali kwa bei ya peremende. Mkiishiwa hoja mlale sio kuongea ngera hapa
 
Kuuzima mtandao wa lowassa na wafanyabiashara ilikuwa si kazi rahisi. Hongera mh.rais Magufuli
Ule mtandao.wa Chenge na wale mafisadi wengine wa Escrow atawapeleka hao mafisadi kwenye ile mahakama ya mafisadi?
 
Acheni kumchafua Rais wetu. Taja ndugu yake 1 tu aliyemuuzia nyumba ya serikali kwa bei ya peremende. Mkiishiwa hoja mlale sio kuongea ngera hapa

Kwahiyo unajitoa ufahamu au? Huyo mtu mbona anajulikana na wengi tu.
 
Wewe hata ukionesha chuki ya Mgombea wako kushindwa haitasaidia lolote. Mchuma umeondoka huo. Huyo mgombea wako ndio basi tena!Tena wewe naweza kukisia kabila na MKOA wako. Shame!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…