Mtandao hatari wa kutapeli watu fedha

Familia mzima Ni low IQ jamani[emoji23][emoji23][emoji23] just simple like that mnapigwa?
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji106]
 
Ushahidi unao KAMANDA hawakatizi tena popote ukizingatia police wetu interejensia yao Kali sana ukiona wanasuasu kuwakanata waambie hao wezi ni Chadema kazi kwisha
Haaaaaahaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji106]
 
Kama uliletwa Mjini na Chuo utapigwa tuu kwa Style hii lakini kama ni Down Town Kitambo basi wizi huu ni wa Mkaka 47!
 
Hao jamaa kwa Muonekano tuu ni Walugaluga sasa Victim hapo lazima atakuwa mtu wa Level zao..
 
Hii kitu imenikumba nimepigwa 20m just last month nimeanza maisha upya, nilishindwa kushtaki polisi but hii kitu inafanyika kma kuna polisi wapo humu plz do something na kibaya zaidi wengne ni politicians wanaconections. Wanakwambia plain and White kwamba ukienda polisi utakamatwa wewe na sio wao. Misibani silii lkn siku hiyo nililia sana mpk leo nikikumbuka nalia.
 
Maisha yakiwa magumu watu akili zinafunguka kutafuta kipato kwa njia mbadala
 
Exi turpi causal non oritor actio.U cannot claim a right out of an illegal transaction.

Wewe na wao wote ni criminals
 
Hao jamaa kwa Muonekano tuu ni Walugaluga sasa Victim hapo lazima atakuwa mtu wa Level zao..
Walugaluga kupigwa huwa ni ngumu sana mkuu maana huwa hawaelewi kila wakieleweshwa ila wasomi kupigwa huwa ni faster sana coz ujuaji huwa ni mwingi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…