Mtandao hatari Tanzania unaoisaka Ikulu usiku na mchana

Kuna kitu naomba ujifunze, kwa maandishi yako unaonekana ni kijana mdogooo sanaaa!

Huyo Lowasa ni kama babu yako! Hivi babu yako na baba yako angekua Lowasa ungeandika haya? Je kama baba yako kama ni kahaba la kiume unaweza kumiandika humu kuwa ni kahaba la kiume?

Hebu heshimu umli bwana mdogo hii haiko hivi, wanaokisupport wao wanajua maana ya laana na hawaandiki ushuzi kama ulioandika, zingatia hili
Kwani nyie mnavodiriki kumkashifu na kumdhihaki MAGUFULI hamuoni hayaa??? ya lowasa mbona inawauma sanaaaa
 
Kauli za kujipa Moyo Chadema..

CCM mwisho 2010.. Chadema kinachukua dola.. HOLAAAA

Subirini 2015... Ndio mwisho wa CCM.. HOLAAAA

2020 ndio mwisho wenu CCM..

Kauli ninayo ikumbuka sana ya Lowasa katika uchaguzi mkuu, alisema tukiwakosa CCM 2015 ndio basi tenaaa
 
Hongera naona buku 7 imeingia mwenzetu. Ajira mpya lini, vijana mnawaweka sana huku mtaani?
Hebu tuanzie hapo kwanza. Kila siku mnalalamika tu. Nijibu kwanza hilo swali
Likiisha hilo tutahamia kweny fao la kujitoa
unaweza kusema kuna mtandao hatari kumbe na ww ni mtandao hatari
Ajira mpya lini?
 
Hongera naona buku 7 imeingia mwenzetu. Ajira mpya lini, vijana mnawaweka sana huku mtaani?
Hebu tuanzie hapo kwanza. Kila siku mnalalamika tu. Nijibu kwanza hilo swali
Likiisha hilo tutahamia kweny fao la kujitoa
Kwahyo tatizo ni ajira ata kama nchi inauzwa kwa bei rahisi tusiseme!! Tukubali tuiuze halafu tuajiri vijana kwa hela za kuuza nchi yetu kwa mafisadi
 
Ajira lini mkuu? Acha porojo.
Mbona aliyetoka alikuwa anaajiri kwa wakati? Kwann nyie.
Mkiweza kutatua matatizo yanayowakabiri wananchi hata wapinzan hawatukuwa na nguvu.
Ukiona wapinzani wanapata nguvu ujue meshindwa kazi. Mjitafakari upya
 
Ndugu wana jamvi,

Naandika haya nikiwa na uchungu kabisa kama mwananchi wa kawaida ambaye ana uchungu na nchi yake. Kuna mtandao unausaka nchi yetu usiku na mchana masaa 24 kwa nguvu zote za kifedha, giza na itikadi tofauti tofauti .huu hapa chini ndio mnyambulisho wenyewe wa huu mtandao;

1: Edward lowasa; huyu ndiye kasisi wa mafisadi hapa Tanzania huyu ndiye anamiliki Mali zenye utatanishi mpaka Leo huyu ndiye ata mtoto atakayezaliwa kesho atamjua kuwa ni fisadi "NYANGUMI" huyu ndiye ata Mwalimu alimtilia shaka na kumuuliza wewe kijana Mali hii yote umeitoa wapi? Mpaka leo hana jibu zaidi ya kusema anaonewa. Huyu ndiye Edward lowasa ambaye ana nyumba za kuishi za kifahari kwenye mikoa zaidi ya 4.

Edward lowasa amejenga mtandao ndani ya nchi na nje ya nchi mtandao wakee ulitaka kuusambaratisha CCM Dodoma mwaka janaa kama siyo ukomavu wa kisiasa na uzoefu wa viongozi wa juu wa chama. Huyu jamaa anaitamani ikulu mpaka kesho na mpaka sasa hivi bado anajijenga ndani ya chama na nje ya chama. Huyu jamaa ata Mwalimu alimuogopa sema mambo hayawekwi hadharani.

Edward lowasa amejijenga kwenye taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali kuna watu mpaka sasa hivi wanakula wanakunywa kwa jina la Edward lowasa. Wapo hadi viongozi wa dini waliojitoa kuhubiri jina na wasifu makanisani wakaacha kabisa kuubiri mambo ya mungu pia wapo masheik waliojitoa ufahamu kwa nyakati mbalimbali kumnena lowasa.

Huyu jamaaa amesikika akisema yeye hana hela anasaidiwa na marafiki zake. Sote tunajua kuwa Rafiki mkubwa wa huyu beberu ni Rostam Aziz ambaye naye Mali zake ni nyingi na zina ukakasi mkubwa kuliko ata rafiki yake EL.Sasa ndipo hawa mabeberu wakiungana na wengine wenye mrengo kama wa kwao wanaunga mtandao wao.

Edward lowasa ambaye ameondoka CCM lakini ata aliyekuwa mwenyekiti mstaafu na rafiki yake kipenzi bado ana wasiwasi na mtandao wa EL na amewatahadharisha kabisa wenzake wana ccm kwa nyakati juu ya huyu bwana kwa sababu anajua nyendo zake usiku na mchana na EL amesikika hakiongea hadharani kuwa JK hajakutana naye njiani.

Edward lowasa hana siasa ya mvuto jukwani lakini anapokanyaga na anapotoka kote ana impact kubwa huyu ndiye El ambaye sifaa yake ni kukaa kimya na hana majibizano ya kisiasa jukwani lakini ukimtukana au ukimkashifu utajibiwa hivohivo lakini siyo yeye atakayekujibu.

Nini siri ya mafanikio ya lowasa? Jibu ni nyepesi mno kama unakaa kufikiria mambo kwa undani Jibu ni kwamba huyu ndiye mwasisi wa siasa za mtandao wenye mrengo wa kati ambaye amejengeka tokea miaka ya tisini kwenye taasisi za umma na zisizo za umma pia kwenye vyombo vya habari ndio silaa yake kubwa mno.

Kama nilivyokuambia kuwa kuna watu wanakunywa na kula kwa jina la EL hivyo kumsema bosi wao vibaya hawatajisikia vizuri na hawa pia wanandugu zao na marafiki zao ambao wapo kwenye huo mlolongo. Huyu ndiye EL ambaye kuacha mchango kwenye kanisa zaidi ya milioni 500 ni jambo dogo sanaa kwake.

Edward lowasa ndiye anayeongoza kwa tuhuma za ki ufisadi nchi hii kama kujimilikisha Ardhi ya wanyonge zaidi ya mahekari, Ranchi za serikali huku Masai wenzake wanateseka pale monduli na Tuhuma kubwa lililomtikisa na pia iliyochangia anguko lake kisiasa "RICHMOND" hii ndio imesababisha akateleza na kuacha njia yake ya kwenda ikulu .

Huyu jamaa mpaka Leo hajakata tamaa ya kwenda ikulu kwa nyakati tofauti amesikika akisema 2020 anagombea na ana uhakika atashinda. Huyu jamaa yeye ikulu anaiona kama ufalme wa mbingu anaipigania sanaaa ukichunguza kwa umakini utakuta hajui ata maana ya mabadiliko lakini yeye anataka tuu akikalie kile kiti! Kwanini huyu jamaa ambaye hajatumia ata zaidi ya dakika 15 kuelezea dhana ya mabadiliko akimbilie ikulu kwa nguvu zote hizi?

Jibu ni hivi huyu jamaa alizaliwa kwenye familia ambayo hawapendi kuongozwa wanapenda kuongoza kipindi yuko ccm huyu alikuwa maarufu kuzidi ata waasisi wa ccm ata JK halikuwa hafui dafu kwa umaarufu wake na huyu ndiye BEBERU namba moja Tz.

Rai yangu kwangu kwa huyu jamaa tuendelee kumpuuza na kumkataa kama tulivofanya 2015 kupitia sanduki la kura na tumkatae kwa siasa zake za ki miujiza mpaka siku atakapoiweka uhalisia wa Mali yake hadharani na aende mbali mno kwa " KUTUBU" dhambi zake kwa watanzania la sivyo nawaambia huyu bwana akitoweka duniani mbinguni hatoingia na shetani naye hatompokea huyu beberu.

2: FREEMAN MBOWE; huyu naye ni miongoni mwa mabeberu hapa Tz ambaye naye juu ya Mali zake na Elimu yake bado ina ukakasi mno. Huyu bwana ndiye mtanzania wa kwanza kutumia helikopta kuzunguka Tz nzima kujinadi kuwa yeye ndiye anaujua maana ya urais. Kitendo cha kutumia helicopter tuu mtu ambaye siyo mfanyakazi kwenye taasisi za umma ndipo sisi kizazi cha kuhoji tulipatwa na ukakasi Mkubwa mno.

Huyu bwana sifa yake kubwa naye hapendi kutawaliwa kabisaa na hapo ndipo uliona waliotaka kumpinga hadharani walipata majeraha Makubwa mno. Huyu beberu ambaye babake alikuwa miongoni wa waasisi wa TANU naye alizaliwa kwenye familia ya utajiri na ndio pia imemsaidia katika harakati za siasa.

Na yeye pia anamiliki baadhi za media zinazomuwekea mambo yake sawa ata kama amekosea na wanahakikisha jina lake haliishi kwenye mtandao. Huyu jamaa naye ni miongoni wenye kiu kubwa ya kukaa pale kwenye kiti cha urais ila ametumia na bado anatumia kila namna kuhakikisha anaingia kwenye viunga vya magogoni.

Rai yangu kwa huyu jamaa; naomba tuendelee kumpuuza kwa kuwa hawezi kutufikisha kwenye uchumi wa kati kama anatuhujumu kwenye kodi ya nyumba ambayo imejengwa kwa hela ya wanyonge je atakua na uchungu wa kusimamia rasimali zetu jibu ni hapana! Kwahiyo tuendelee kumpuuza hadi siku ya mwisho.

3: MAALIM SEIF; huyu bwana naye ni mwana jeraha anaye hukumiwa na wazanzibari kutokana na usaliti na unafiki yake. Huyu naye ni moja wa mabeberu namba moja Tz. Huyu naye kajenga mtandao ndani ya ZNZ yenye mkono mno.

Huyu sifa zake kubwa ni Usaliti,unafiki na kisasi. Huyu bwana kwa Mara nyingi amesikika kwa nyakati tofauti kuwa yeye ndiye yeye kama si ubinafsi na uzandiki ni nini! Ni huyu aliyetuhumiwa kumsaliti A.Jumbe kwa mwalimu NYERERE na ndiye aliyemsaliti profesa lipumba mwaka Jana dakika za mwisho kwa kujali tumbo lake ili kufaidi mgao ambao walipatiwa.

Rai yangu kwa huyu bwana naomba tumkatae na kumpuuza kama tulivofanya tokea 1995. Kwa kuwa anakosa sifa zote za kuwa kiongozi ambaye atasaidia kuleta maendeleo katika Jamii.

Note: Hawa watu watatu sasa hivi wameungana jambo ambalo ni hatari ila nawatabiria anguko kubwa kuwahi kuwapata katika maisha yao. Siku zote waswahili wanasema mafari wawili hawalali kwenye zizi moja je hawa watatu watalala? subirini mtaona majibu soon.

Niwaombe watanzania wote bila kujali itikadi za kidini kabila na ukanda kumuombea Rais magufuli kuusambaratisha huu Mtandao hatari katika nchi yetu. Tumuunge mkono kwa nguvu zote katika kutupela kwenye uchumi wa kati.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wa kati bado inaendelea;
Ni Mimi kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli katika taifa hili.

SIMON MATO
mkuu hivi yule jamaa aliye jipanga miaka 10 (1995-2005) wa chama hiki kwenda magogoni alikuwa lowasa?...
Je,ni kwa nini mzee wa kiwira alimteua lowasa kuwa waziri 1997 kwenye wizara NYETI na nyerere alikuwa hai ili hali nyerere alimkataa?....Vipi kuhusu wale wanachama wenzentu wa chama hiki hiki ambao wapo kiwira,rada,escrow na meremeta wao siyo mafisadi?....kama maalim seif alimsaliti jumbe kwa nyerere na nyerere akakubali usaliti huo na kumtimua jumbe,Unafikiri nani anastahili lawama kati ya seif aliyetoa umbea/uongo na nyerere aliyekubali na kuufanyia umbea/uongo wa seif?.....Hivi ni chama gani ambacho katiba yake insema kuwa mtu akiwa mkuu wa kaya vilevile anakuwa mkuu wa chama na hawana uchaguzi wa mkuu wa chama tangu kianzishwe...77?...Hivi yule mkuu wa tatu na nne wana mali halali au haram?

naomba jibu mkuu ili mjadala uendelee
 
Vitu vingine ukiitwa uthibitishe sijui unaanzia wapi
wenye nchi wenyewe mpaka leo hawaja mpeleka Lowasa Mahakamani hivi unafikiria unajua zaidi ya Jakaya Kikwete ,Said Mwema,Othman Rashid Membe ,Samuel Sita ,Mwakyembe ,Edward Hosea?

Huyo Mbowe wa Chopa baba yake alikua anampa hela Nyerere ,endelea kushangaa tu usipambane kutafuta pesa piga tantalila zako mitandaoni halafu watoto wa Mbowe wakija kumiliki Gulfstream wanao watakua wanashangaa kama wewe
Haahaaa
Nimeipenda hii!
 
"kwa nyakati tofauti amesikika akisema 2020 anagombea na ana uhakika atashinda"
SASA KUMBE MTU ANATUMIA UTARATIBU WA HALALI KABISA WA KIDEMOKRASIA KWENDA IKULU THEN WE UNASEMA MTANDAO HATARI UNAJUA MAANA YA HATARI WEWE? HUO UCHUNGU UNAOJIFANYA UNAO NI UPI AU NI ULE MWINGINE WA KUJIFUNGUA?

"Edward lowasa ndiye anayeongoza kwa tuhuma za ki ufisadi nchi hii"
VIPI UMESAHAU KUTUAMBIA ESCOW, EPA, LUGUMI, TWIGA KUFLY BILA KUKATA TIKETI ANAYEONGOZA NANI? VIPI RIZMOKO YUKO NAFASI YA NGAPI?

"Mali zake na Elimu yake bado ina ukakasi mno."
UMEJIJIBU HAPA
"alizaliwa kwenye familia ya utajiri na ndio pia imemsaidia katika harakati za siasa"

SASA MTU KAZALIWA FAMILIA YA KITAJIRI THEN UNASHANGAA YEYE KUA TAJIRI NDO MAANA BADO UNATAWALIWA WEWE PUNGUZA UMBULULA HALAFU ASEE
 
mkuu hivi yule jamaa aliye jipanga miaka 10 (1995-2005) wa chama hiki kwenda magogoni alikuwa lowasa?...
Je,ni kwa nini mzee wa kiwira alimteua lowasa kuwa waziri 1997 kwenye wizara NYETI na nyerere alikuwa hai ili hali nyerere alimkataa?....Vipi kuhusu wale wanachama wenzentu wa chama hiki hiki ambao wapo kiwira,rada,escrow na meremeta wao siyo mafisadi?....kama maalim seif alimsaliti jumbe kwa nyerere na nyerere akakubali usaliti huo na kumtimua jumbe,Unafikiri nani anastahili lawama kati ya seif aliyetoa umbea/uongo na nyerere aliyekubali na kuufanyia umbea/uongo wa seif?.....Hivi ni chama gani ambacho katiba yake insema kuwa mtu akiwa mkuu wa kaya vilevile anakuwa mkuu wa chama na hawana uchaguzi wa mkuu wa chama tangu kianzishwe...77?...Hivi yule mkuu wa tatu na nne wana mali halali au haram?

naomba jibu mkuu ili mjadala uendelee
 
Ndugu wana jamvi,

Naandika haya nikiwa na uchungu kabisa kama mwananchi wa kawaida ambaye ana uchungu na nchi yake. Kuna mtandao unausaka nchi yetu usiku na mchana masaa 24 kwa nguvu zote za kifedha, giza na itikadi tofauti tofauti .huu hapa chini ndio mnyambulisho wenyewe wa huu mtandao;

1: Edward lowasa; huyu ndiye kasisi wa mafisadi hapa Tanzania huyu ndiye anamiliki Mali zenye utatanishi mpaka Leo huyu ndiye ata mtoto atakayezaliwa kesho atamjua kuwa ni fisadi "NYANGUMI" huyu ndiye ata Mwalimu alimtilia shaka na kumuuliza wewe kijana Mali hii yote umeitoa wapi? Mpaka leo hana jibu zaidi ya kusema anaonewa. Huyu ndiye Edward lowasa ambaye ana nyumba za kuishi za kifahari kwenye mikoa zaidi ya 4.

Edward lowasa amejenga mtandao ndani ya nchi na nje ya nchi mtandao wakee ulitaka kuusambaratisha CCM Dodoma mwaka janaa kama siyo ukomavu wa kisiasa na uzoefu wa viongozi wa juu wa chama. Huyu jamaa anaitamani ikulu mpaka kesho na mpaka sasa hivi bado anajijenga ndani ya chama na nje ya chama. Huyu jamaa ata Mwalimu alimuogopa sema mambo hayawekwi hadharani.

Edward lowasa amejijenga kwenye taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali kuna watu mpaka sasa hivi wanakula wanakunywa kwa jina la Edward lowasa. Wapo hadi viongozi wa dini waliojitoa kuhubiri jina na wasifu makanisani wakaacha kabisa kuubiri mambo ya mungu pia wapo masheik waliojitoa ufahamu kwa nyakati mbalimbali kumnena lowasa.

Huyu jamaaa amesikika akisema yeye hana hela anasaidiwa na marafiki zake. Sote tunajua kuwa Rafiki mkubwa wa huyu beberu ni Rostam Aziz ambaye naye Mali zake ni nyingi na zina ukakasi mkubwa kuliko ata rafiki yake EL.Sasa ndipo hawa mabeberu wakiungana na wengine wenye mrengo kama wa kwao wanaunga mtandao wao.

Edward lowasa ambaye ameondoka CCM lakini ata aliyekuwa mwenyekiti mstaafu na rafiki yake kipenzi bado ana wasiwasi na mtandao wa EL na amewatahadharisha kabisa wenzake wana ccm kwa nyakati juu ya huyu bwana kwa sababu anajua nyendo zake usiku na mchana na EL amesikika hakiongea hadharani kuwa JK hajakutana naye njiani.

Edward lowasa hana siasa ya mvuto jukwani lakini anapokanyaga na anapotoka kote ana impact kubwa huyu ndiye El ambaye sifaa yake ni kukaa kimya na hana majibizano ya kisiasa jukwani lakini ukimtukana au ukimkashifu utajibiwa hivohivo lakini siyo yeye atakayekujibu.

Nini siri ya mafanikio ya lowasa? Jibu ni nyepesi mno kama unakaa kufikiria mambo kwa undani Jibu ni kwamba huyu ndiye mwasisi wa siasa za mtandao wenye mrengo wa kati ambaye amejengeka tokea miaka ya tisini kwenye taasisi za umma na zisizo za umma pia kwenye vyombo vya habari ndio silaa yake kubwa mno.

Kama nilivyokuambia kuwa kuna watu wanakunywa na kula kwa jina la EL hivyo kumsema bosi wao vibaya hawatajisikia vizuri na hawa pia wanandugu zao na marafiki zao ambao wapo kwenye huo mlolongo. Huyu ndiye EL ambaye kuacha mchango kwenye kanisa zaidi ya milioni 500 ni jambo dogo sanaa kwake.

Edward lowasa ndiye anayeongoza kwa tuhuma za ki ufisadi nchi hii kama kujimilikisha Ardhi ya wanyonge zaidi ya mahekari, Ranchi za serikali huku Masai wenzake wanateseka pale monduli na Tuhuma kubwa lililomtikisa na pia iliyochangia anguko lake kisiasa "RICHMOND" hii ndio imesababisha akateleza na kuacha njia yake ya kwenda ikulu .

Huyu jamaa mpaka Leo hajakata tamaa ya kwenda ikulu kwa nyakati tofauti amesikika akisema 2020 anagombea na ana uhakika atashinda. Huyu jamaa yeye ikulu anaiona kama ufalme wa mbingu anaipigania sanaaa ukichunguza kwa umakini utakuta hajui ata maana ya mabadiliko lakini yeye anataka tuu akikalie kile kiti! Kwanini huyu jamaa ambaye hajatumia ata zaidi ya dakika 15 kuelezea dhana ya mabadiliko akimbilie ikulu kwa nguvu zote hizi?

Jibu ni hivi huyu jamaa alizaliwa kwenye familia ambayo hawapendi kuongozwa wanapenda kuongoza kipindi yuko ccm huyu alikuwa maarufu kuzidi ata waasisi wa ccm ata JK halikuwa hafui dafu kwa umaarufu wake na huyu ndiye BEBERU namba moja Tz.

Rai yangu kwangu kwa huyu jamaa tuendelee kumpuuza na kumkataa kama tulivofanya 2015 kupitia sanduki la kura na tumkatae kwa siasa zake za ki miujiza mpaka siku atakapoiweka uhalisia wa Mali yake hadharani na aende mbali mno kwa " KUTUBU" dhambi zake kwa watanzania la sivyo nawaambia huyu bwana akitoweka duniani mbinguni hatoingia na shetani naye hatompokea huyu beberu.

2: FREEMAN MBOWE; huyu naye ni miongoni mwa mabeberu hapa Tz ambaye naye juu ya Mali zake na Elimu yake bado ina ukakasi mno. Huyu bwana ndiye mtanzania wa kwanza kutumia helikopta kuzunguka Tz nzima kujinadi kuwa yeye ndiye anaujua maana ya urais. Kitendo cha kutumia helicopter tuu mtu ambaye siyo mfanyakazi kwenye taasisi za umma ndipo sisi kizazi cha kuhoji tulipatwa na ukakasi Mkubwa mno.

Huyu bwana sifa yake kubwa naye hapendi kutawaliwa kabisaa na hapo ndipo uliona waliotaka kumpinga hadharani walipata majeraha Makubwa mno. Huyu beberu ambaye babake alikuwa miongoni wa waasisi wa TANU naye alizaliwa kwenye familia ya utajiri na ndio pia imemsaidia katika harakati za siasa.

Na yeye pia anamiliki baadhi za media zinazomuwekea mambo yake sawa ata kama amekosea na wanahakikisha jina lake haliishi kwenye mtandao. Huyu jamaa naye ni miongoni wenye kiu kubwa ya kukaa pale kwenye kiti cha urais ila ametumia na bado anatumia kila namna kuhakikisha anaingia kwenye viunga vya magogoni.

Rai yangu kwa huyu jamaa; naomba tuendelee kumpuuza kwa kuwa hawezi kutufikisha kwenye uchumi wa kati kama anatuhujumu kwenye kodi ya nyumba ambayo imejengwa kwa hela ya wanyonge je atakua na uchungu wa kusimamia rasimali zetu jibu ni hapana! Kwahiyo tuendelee kumpuuza hadi siku ya mwisho.

3: MAALIM SEIF; huyu bwana naye ni mwana jeraha anaye hukumiwa na wazanzibari kutokana na usaliti na unafiki yake. Huyu naye ni moja wa mabeberu namba moja Tz. Huyu naye kajenga mtandao ndani ya ZNZ yenye mkono mno.

Huyu sifa zake kubwa ni Usaliti,unafiki na kisasi. Huyu bwana kwa Mara nyingi amesikika kwa nyakati tofauti kuwa yeye ndiye yeye kama si ubinafsi na uzandiki ni nini! Ni huyu aliyetuhumiwa kumsaliti A.Jumbe kwa mwalimu NYERERE na ndiye aliyemsaliti profesa lipumba mwaka Jana dakika za mwisho kwa kujali tumbo lake ili kufaidi mgao ambao walipatiwa.

Rai yangu kwa huyu bwana naomba tumkatae na kumpuuza kama tulivofanya tokea 1995. Kwa kuwa anakosa sifa zote za kuwa kiongozi ambaye atasaidia kuleta maendeleo katika Jamii.

Note: Hawa watu watatu sasa hivi wameungana jambo ambalo ni hatari ila nawatabiria anguko kubwa kuwahi kuwapata katika maisha yao. Siku zote waswahili wanasema mafari wawili hawalali kwenye zizi moja je hawa watatu watalala? subirini mtaona majibu soon.

Niwaombe watanzania wote bila kujali itikadi za kidini kabila na ukanda kumuombea Rais magufuli kuusambaratisha huu Mtandao hatari katika nchi yetu. Tumuunge mkono kwa nguvu zote katika kutupela kwenye uchumi wa kati.

Safari ya kuelekea kwenye uchumi wa kati bado inaendelea;
Ni Mimi kijana mtiifu, mzalendo na mwanaharakati wa kweli katika taifa hili.

SIMON MATO
You should be arrested and sent to the court of law to substantiate what you have written, give evidence. In actual fact Lowassa has nothing to do with this case, the government and TCRA ----cybercrime team should act swiftly. Kwako IGP Mangu -- hapa kazi tu kwani sheria za kuchukulia hatua uncough people of this nature zishapitishwa na bunge letu tukufu na tuna Rais ambaye hataki, hapindi majungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom