Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,953
nitakeni radhi,sio kaka mimi....Tumia HALOTEL kaka but angalia na eneo ulilopo usiwe unalalamika tu kumbe upo Mabondeniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka jaribu kutumia 4G kwenye mitandao inayotoa hiyo huduma!
hizo nyuzi zimepita mda ndomana nkaamua kuuliza tenaMkuu kuna Uzi humu ndani kuhusu mitandao hii ya simu na huduma zake jaribu kufanya search unaweza upata. Ushauri unaweza kununua both voda and smart utapata jibu.
Kaka nasikia 4G ya TTCL ipo vizuri ikiwa ni pamoja na gharama zake!..........umeshaijaribu?nitakeni radhi,sio kaka mimi....
umeona ehKwenye intenet mitandao yetu mizinguo mitupu yaani unasubiri kama ndio ya maji bombani
haha unazidi kuniita kaka ili unijaze nyembe...umefeli dada....Kaka nasikia 4G ya TTCL ipo vizuri ikiwa ni pamoja na gharama zake!..........umeshaijaribu?
Kaka ingia hapa kuna uzi mubashara kabisa na wa kisasa unaojadili mitandao ya simu pamoja na mabando nafuu,stelingi ni Chief mkwawa! Vifurushi vya internet visivyo rasmi kwa makampuni ya simuhaha unazidi kuniita kaka ili unijaze nyembe...umefeli dada....
Kaka tumia HALOTELhaha unazidi kuniita kaka ili unijaze nyembe...umefeli dada....