Mtandao gani kwa sasa una coverage nzuri?

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,491
Reaction score
9,259
Wakuu, Naomba Kujua mtandao ambao atleast una Covarage nzuri ya mawasiliano Kwa hapa Tanzania Yani upatikane maeneo mengi zaidi.
 
Airtel na Vodacom ingawa mtandao sometimes unakwama kwama sana sijui wanakuaga km TANESCO kukatika katika mauno tu kila wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…