Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 343
- 407
Hahaha nchi yao si mzalendo wewe Kama mwendazake alivyokuwa anaongea.Nwatakie ccm kazi njema katika ujenzi wa nchi yao.
Uta vote Kama upo kwenye mahusiano sahihi(Yani ndoa sahihi) au kwenye mahusiano yasiyo sahihi ( ndoa hisiyo sahihi) .Sijaona wenye ndoa tuna volt wapi...🤔
Sijaona wenye ndoa tuna volt wapi...🤔
Piga moyo konde Haya mapenzi bana we acha tu furahia usingle wako kula maisha 😄Najitakia maisha mema. I love me sooo much
Waliniacha wote, nimebaki na huyu wa ofisini kwa Max...😜Michepuko yako yote umeachana nayo hadi ukose wa kumtumia salam!? 😂😂😂😂
Waliniacha wote, nimebaki na huyu wa ofisini kwa Max...😜
Nchi haikuwahi kuwa na mzalendo au wazalendo, tuliyemuona mzalendo ndio aliyetuachia madeni tunayopambana nayo kwenye tozoHahaha nchi yao si mzalendo wewe Kama mwendazake alivyokuwa anaongea.
Wewe utakuwa bado ujampata mtu sahihi kwahiyo wewe ni singleKundi langu silioni hapo kwenye vote, single and searching
Tutazoea hatuna namna😥Nchi haikuwahi kuwa na mzalendo au wazalendo, tuliyemuona mzalendo ndio aliyetuachia madeni tunayopambana nayo kwenye tozo
Buku buku za luku hakuna namna na ndio kwanza bado miaka 4Tutazoea hatuna namna😥