Namshukuru Mungu nimefanikiwa kuli solve. Kwenye kikao nilibadilika aisee mpaka Mkurugenzi mwenyewe aliogopa, hawakuwahi kuniona nikiwa namna ile. Majibu niliyokuwa nayatoa, japo nilikuwa naenda kwa hoja lakini macho na sura yalikuwa na rangi nyekundu na nilikuwa na hasira na mtu alikuwa akiingia ofisini kwangu leo nilikuwa namwambia sifanyi kazi, ziweke documents hapo ila sizifanyii kazi leo.