Kama ni kijana ambaye hajawahi kushika pesa yake mwenyewe na kuipangia matumizi yafaa kazi ya mshahara ili apate udhoefu wa kumanage pesa.
Ukimpa mtaji m.5 ataziona nyingi na kuanzia kufanya matumizi nje ya malengo ya kibiashara na kuja kushtuka mtaji umekata. Lakini akiwa na kazi pesa ikikata atasubiri mwisho wa mwezi mwingine na kupata pesa ambapo atakuwa anajifunza pole pole kutokana na makosa ya matumizi aliyofanya mwezi uliopita.
All in all biashara ni best option kwa mtu alie komaa .

Hili ni jibu sahihi sana, 5 million kwenye biashara na risk kubwa sana lakini mshahara unakufanya upate muda wa kujifunza na kujaribu biashara mara nyingi zaidi
Ukiwa na tamaa huwezi elewa kwanini mshahara ni best option