MovingForward JF-Expert Member Nov 10, 2009 489 49 Oct 25, 2010 #1 Ujumbe huu utatufaa sana Watanzania, nimeupokea kutoka kwa mtumishi wa Mungu aliyejitambulisha kwenye attachment. Si wangu, msinifagilie bure!!! Hata hivyo, sifa na utukufu zimendee Mungu aliyemwezesha mtumishi huyu kuachilia ujumbe huu. Attachments Kura yako.pdf 69 KB · Views: 181
Ujumbe huu utatufaa sana Watanzania, nimeupokea kutoka kwa mtumishi wa Mungu aliyejitambulisha kwenye attachment. Si wangu, msinifagilie bure!!! Hata hivyo, sifa na utukufu zimendee Mungu aliyemwezesha mtumishi huyu kuachilia ujumbe huu.
M Mikomangwa Senior Member Sep 30, 2010 100 3 Oct 25, 2010 #2 Sisimizi wewe ni mdogo lakini mambo yako ni makubwa. Umetoa elimu nzuri sana kutoka kwenye maandiko matakatifu.
Sisimizi wewe ni mdogo lakini mambo yako ni makubwa. Umetoa elimu nzuri sana kutoka kwenye maandiko matakatifu.
MovingForward JF-Expert Member Nov 10, 2009 489 49 Oct 13, 2015 Thread starter #3 Huenda hii ikatusaidia sana.