Mtafiti wa TADIP

Mtafiti wa TADIP

PLEASE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
569
Reaction score
201
Boss wa TADIP katika pozi tofauti
 
Attachments

  • 1443346961282.jpg
    1443346961282.jpg
    24.2 KB · Views: 815
Tatizo tafiti ya Twaweza haikufuata taratibu za research,kwani mtaalamu wa maabara huwa haugui malaria kuwa atajipimaje?ila procedure ya TADIP ilikidhi vigezo?
 
Huo siyo utafiti ni uzushi tu.
 
Attachments

  • 1443347466702.jpg
    1443347466702.jpg
    76.8 KB · Views: 699
Tafiti mwaka huu lol...tutaziona nyingi tena ni afadhali ziendelee kutoka kabla ya tarehe ya mwisho....mwezi ujao 25
 
Mwaka huu kila goti litapigwa. Hakuna kubebwa bebwa, waachieni wananchi wachague viongozi wanaowataka.
 
Niliposikia matokeo ya uchaguzi ya kila kituo yatabandikwa hapo hapo kituoni baada ya mawakala kuyaafiki,kusaini na kubaki na nakala kwa kila mmojawao nimefarijika sana. Haya mambo mengine sijui utafiti ni kutuchanganya wapiga kura.
 
Ila bado wanasema wameibiwa
 
Back
Top Bottom