mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Mtabiri maarufu na mtoto wa marehemu Shekhe Yahya Hussein, ametabiri kuwa kwa mwaka huu kuna chama kikubwa cha upinzani cha siasa kitakufa.
Ameyasema hayo katika mkutano alioutisha na kutoa tabiri zake juu ya matukio mbali mbali yanayotaraji kutokea mwaka huu.
Chanzo: Chanel 10
=====
Ameyasema hayo katika mkutano alioutisha na kutoa tabiri zake juu ya matukio mbali mbali yanayotaraji kutokea mwaka huu.
Chanzo: Chanel 10
=====
Mtoto wa mtabiri maarufu shekh Yahaya... Amesema mwaka huu 2017 una nyota ya simba.
Kwa maana hiyo amesema.
1. Chama kikubwa cha upinzani kitasambaratika kabisa.
2. Viongozi wakubwa wa kisiasa watakufa
3. Viongozi wa dini, Wasanii maarufu na wanasiasa watafumaniwa.
Yangu macho ila namba moja Mmmm..Mtego huo.