Mtaani njaa kali sana, pesa hakuna

Hali ni tete kila kona ni kukomaa kuzidi kuizoea hali tu la sivyo unaweza ukaolewa, maana mtukufu haelewi habari ya njaa iliyopo mtaani na tunavyozidi kumnung'unikia hali ndo inazidi kuwa mbaya
 
Yawezekana Kwa namna Fulani..nitakupa mfano,chukulia una mdogo wako kamaliza kusomea ualimu anasubiri ajira halafu ghafla anasikia kuna walimu wa sekondari wanapelekwa msingi kuziba nafasi..unadhani kisaikolojia yukoje Kwa sasa? Atakua na imani tena na nchi yake?
 
Nipo tz mkuu, sijashindwa kufanya mambo yangu ya muhimu, mabadiliko yapo ila sio kivile, sasa sijui hii njaa kali ndo ikoje, tatizo watu wanawaza makubwa kuliko uwezo wao wa kipato
njaa ipo kali tena sana,ukitaka kulijua hilo angalia taarifa za kifedha za mabenki
 
Vijana wengi ni kwakua hatuna proper channels ndiyo maana tunayashindwa makkukuru kakara ya sasa.
Mfano baadhi ya niliomaliza nao wako kwa RC mmoja wanakula 50K kwa siku na chakula ni juu ya serikali.

Perception ya hawa na watu wengine haziwezi kua sawa.
 
Mbona baa zina jaza watu kama kawaida
Alafu asubuhi watu wanakuja hapa kulalama et uchumi au hao wanao kesha baa n misukule?????
Sipendi hii tabia
Hiki kitu hata me najuiliza kila Siku hali mbaya ila bar zote zinajaa kila uchao sasa sijui inakuaje hapa
 
Mbona baa zina jaza watu kama kawaida
Alafu asubuhi watu wanakuja hapa kulalama et uchumi au hao wanao kesha baa n misukule?????
Sipendi hii tabia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo imani hakuna mkuu.
 
Hiki kitu hata me najuiliza kila Siku hali mbaya ila bar zote zinajaa kila uchao sasa sijui inakuaje hapa
wanashinda bar na wanaoshindia mlo mmoja kwa siku wawapi ni wengi? au ni asilimia ngapi ya wananchi wote?
 
Sio kila anaelia njaa ana njaa. Tafuta usichoke.
 
Fanya kazi...
Unaweza kufanya kazi na hela usiione au ukapata fedha isiyotosha hata chakula cha siku.
Unaposema watu wafanye kazi. Ushajiuliza ni kazi gani? Tangia ulipokaririshwa huwezi hata kutumia akili yako. Watu wanahangaika kila kukicha kutafuta kazi za kufanya lkn ww umekalia wafanye kazi. Ww umetoa ajira ngapi?
 
walizoea kula bata na kuhonga vitz sasa wamekosa wanasema hali mbaya punguza starehe
 
Halafu mjinga mmoja anakurupuka huko na kusema watu wafanye kazi. Km kazi zenyewe zimefutwa unafikiri watu wafanye nn? Hii kitu imeumiza wengi sana. Halafu hapo utasikia kiongozi mmoja anasema watu wawe wazalendo. Wanafikiri uzalendo ni km kusikiliza nyimbo za bongo fleva. CCM NDIYO CHANZO CHA YOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…