Mtaani kwetu

uswahili balaa tupu ndio wameshakuona ukiondoka asubuhi unarudi jioni au siku za wikiendi umekaa varandani na pc ako unapost jf huku ukitabasamu na masihara ya koment za wanajamvi kwann wasikulengeshee!
 
hahahaaa
 
Tafuta u+pupu uzimwagie. Watajikuna mpaka vinembi vyao vikatike. Hiyo ndiyo dawa yao.
HaWaTaRuDiA tEnA.
 
Mie meenyew nashanga izi chupi za siku izi!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…