Bwana Mapesa JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 2,551 Reaction score 1,777 Feb 10, 2017 #1 Huko kwenu vipi?
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Feb 10, 2017 #2 Hiyo maana ya 'kiwango kidogo' kwangu mimi sio maana halisi kwa sababu kuna standard measurements za ukubwa na uzito na idadi. Halafu dawa za kupunguza maumivu ni maumivu gani hayo?
Hiyo maana ya 'kiwango kidogo' kwangu mimi sio maana halisi kwa sababu kuna standard measurements za ukubwa na uzito na idadi. Halafu dawa za kupunguza maumivu ni maumivu gani hayo?
Bwana Mapesa JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 2,551 Reaction score 1,777 Feb 10, 2017 Thread starter #3 Mwanamayu said: Hiyo maana ya 'kiwango kidogo' kwangu mimi sio maana halisi kwa sababu kuna standard measurements za ukubwa na uzito na idadi. Halafu dawa za kupunguza maumivu ni maumivu gani hayo? Click to expand... Ndo kidali poo mkuu. Tumelala nacho
Mwanamayu said: Hiyo maana ya 'kiwango kidogo' kwangu mimi sio maana halisi kwa sababu kuna standard measurements za ukubwa na uzito na idadi. Halafu dawa za kupunguza maumivu ni maumivu gani hayo? Click to expand... Ndo kidali poo mkuu. Tumelala nacho
Y ydn JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 2,092 Reaction score 1,411 Feb 10, 2017 #4 Haha! Nchi nayo itakuwa hewa
jmapunda JF-Expert Member Joined Jul 9, 2015 Posts 731 Reaction score 2,925 Feb 10, 2017 #6 Morphine,methadone,hydrocodone,meperidine,heroine etc.