Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Habari Tanzania !
Nawaomba basi wenye mamlaka mturuhusu Vijana na hata wazee waweze kuwa na Party/ Sherehe ya Mtaa yaani wana mitaa tunakusanyika tunapiga cha Pilau safi na kupiga mastori ya hapa na pale ila hii Sherehe iwe ya kitaifa tufanye siku moja kila mtaa.
Haya maisha ni kusheherekea tu; mashida ya hii dunia yapo tu na hayana mwenyewe