Living kereth
Member
- Feb 7, 2017
- 69
- 55
Kwa majina Naitwa PETER LIVING Mkaazi wa bagamoyo Mkoa wa pwani ni MTAALAMU wa UJENZI wa MASHIMO ya choo majumbani taasisi na kwenye makampuni ...pia ni MTAALAMU nzuri kwenye shimo linalojaa Mara kwa Mara yaani maji yanajaa kwa wiki au wiki mbili ..nipigie kwa ajili ya kutatua tatizo lako kwa gharama nafuu sana