Mtaalamu wa udongo na kilimo mazao (Agronomist)

Mtaalamu wa udongo na kilimo mazao (Agronomist)

Joined
Mar 25, 2022
Posts
28
Reaction score
34
Hellow wakuu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, muhitimu wa bachelor degree ya Agronomy kutoka SUA, baada ya masomo yangu nimewahi kufanya kazi kama field officer katka project ya kuhamasisha kilimo bora cha zao la ufuta Morogoro.

Ninao uwezo wa kufanya kazi katika nyanja mbalimbali kama kushughulika na pembejeo za kilimo ikiwemo Madawa, mborea na mbegu lakini pia kupima udongo, kusimamia project za kilimo au mashamba pamoja na kutoa ushauri juu ya kilimo bora cha kitaalam.
Zaidi ninao uwezo mkubwa wa kutumia computer.

Kwa sasa natafuta chance ya shughuli yoyote inayohusiana kilimo au yoyote kwenye taaluma yangu, kwa ajili ya kupata uzoefu zaidi, na kuonyesha uwezo wangu katka jamii.

Kama unaweza kuwa na connection yoyote, karibu
0758121634/0620676049
 
Mkuu nipe sifa unique kwa hizi aina za udongo
Sand
Silt
Clay
 
Back
Top Bottom