Mtaalam wa madini aliyeuawa Kenya ndiye inasadikiwa alivumbua madini ya aina ya pekee ya Tsavorite
Mtaalam maarufu wa madini na vito vya thamani raia wa Scotland ameuawa nchini Kenya baada ya kuvamiwa na kundi la watu waliojizatiti kwa marungu, mikuki na mishale.
Mtaalam huyo Campbell Bridges, mwenye umri wa miaka 71, alishambuliwa na kundi la watu 20 katika kitalu anachomiliki cha hekari 600 karibu na mji wa kusini wa Voi.
olisi wanaendelea kuchunguza shambulio hilo ambalo linahusishwa na mzozo wa miaka mitatu wa kumiliki eneo hilo la machimbo lililokuwa linamilikiwa na Bwana Bridges.
SOURCE: BBC SWAHILI SERVICE
"Miafrika Ndo Tulivyo" NN
"It has escalated in the last few months and we have received multiple death threats, all of them documented by the police.
"On that very day my father and I had heard these bandits were digging trenches on our land, so we took that information to the police and asked them for extra security.
"They refused to aid us in any way and basically told us to go it alone. They left us to die."
Guards fled
After leaving the police station, the group had to return to Mr Bridges' property because a group of tourists was waiting for them there.
Du kumbe huyu mtaalamu-mwekezaji alianzia Tanzania kisha akakimbilia Kenya baada ya Mwalimu kutaifisha makampuni binafsi kufuatia kutangazwa kwa Azimio la Arusha la 1967 - hebu soma ripoti hii:
His Tanzanian mines were nationalised in the 1970s, and he moved his operations to Kenya – where he studied geological records and located tsavorite again. Initially he lived in a tree house, and claimed to have set a python to watch over the first gems he found. He kept a pair of leopards instead of guard dogs. He was also a special consultant to the famous New York jewellers Tiffany & Co.
Chanzo: http://www.guardian.co.uk/world/2009/aug/13/geologist-campbell-bridges-stabbed-kenya
Kama dola ilipuuza usalalma wake, mtu hatakosea akisema serikali imebariki mauwaji yale, kama bw. Bridges angetumia haki yake ya kujilinda,ungeona kibao kinavyomgeukia kama yule "settler" mwingine, bw. Delamere, aliyemuuwa yule "ngedere" na kushtakiwa kwa mauwaji.Tazama uzembe wa jeshi la polisi....